Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huu uamuzi aliofanya nampa kongore kubwa sana!

wakenya wanasema hivyo vitu walishafanya.. sawa, hata sisi tulishafanya.. ila je ratio ya hospital beds per same no of population tutakuwa sawa? ratio ya no of CT scans per same no of population tutakuwa tupo sawa?.. ratio ya no of classes/benches per no of students tupo sawa? etc... kiufupi hata sisi tunavyo.. tulichofanya ni kuongeza huduma/machines ili watu wengi wafaidike na hizo huduma .. ishu nyingine ni Tanzania tunaongoza kuwa na maji sehem nying kuliko Kenya lkn tumeongeza magari ya kuchimba visima ili tupate maji zaidi
View attachment 1970731
View attachment 1970732
View attachment 1970733
We are going to witness a rapid boost on social services which is crucial to the real development ..inayogusa wanachi wengi kwa Mpigo...Magu Alianzisha kwa majengo..the equipments are now following ..plus majengo mengine mengi kama EMDs na ICU
 
FB_IMG_1633866118261.jpg
 
Itakua kwa mawazo ya maria sarungi au🤣🤣 wamekufa kina firauni wewe vp kufa ni lazima kwa kila kiumbe sio hiari wala ombi

Yani hofu kubwa ya mkenya ilikua magufuli yani munamuogopa magufuli kuliko njaa na corona
Huyo maria baba yake jaluo mwenye asili ya kunyaland,yule mzee na mungai ndio walioharibu mfumo wetu wa elimu walipokua mawaziri wa elimu
 
Back
Top Bottom