Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar-Arusha
Dar-Dom
Dar-iringa
Kujengwa njia nne! That's great!
Hii kasi tuliyochomoka nayo sio ya ukanda huu ni ya Europe, hii nchi alitakiwa mtu mmoja wa kutuamsha kutoka usingizini zen yeye akapumzike kwa amani, na ndivyo ilivyokuwa kwamba huyo mtu cku zote atafanywa kuwa benchmark na watakaofuata wote watapimwa kulingana na alichokifanya huyo mtu, asante sana Mungu baba, wewe ni mwema cku zote kwani sasa tumeiona iliyo kweli.
 
I always wonder what's wrong with these people, why buy planes when you can't built classrooms in your secondary schools? Why buy planes when only 37% of households are connected to electricity? Why buy planes when you still only have 9,000km of paved roads? Finally to make things very funny, they are busy buying planes yet their citizens has no capability to use those planes. They depend on foreigners to use the planes as they remain behind to cheer.
Kingereza kingi hakitakusaidia, wewe nimekwambia pumzika.
 
Summary ya vitu nilivyoskia kwenye hotuba

Transport
Ujenzi wa meli nne na ukarabati wa moja mpya utaendelea mkataba ulishakuwa signed 2 lake victoria, 2 tanganyika ,1 indian ocean

Hajagusia SgR phase 3 au 4 ..phase nyingne zinaendelea

Msalato Int Airport soon

Renovation of Mtwara, Iringa airport


ATC Ndege 5 malipo ..Bil 500 plus yashafanyika, Imepata kibali kutua Middle east countries sijajua ni UAE , Qatar au Saudi arabia

Roads and bridges hajagusia sana ila zinaendelea

Umeme na Nishati
JNHPP inaendelea..iko 55
Ruhidiji na Rumakali hydro we might get loan

Afya
Regional and Zonal hospital on 25 regions zinaendelea
plus vituo vya afya
CT scan na Digital xray kila regional hosp na MRI on selected hosp
Ujenzi wa viwanda vya dawa unaendlea


Kilimo
New fetlizer plant is U/c in Dodoma
New irrigation schemes

Business
FDI up to 3billion usd in 6 months
EPZ 18 new projects
160+ TIC projects
Business registred by Brela number up
Kurasini Logistics centre soon


Toursim
Number increased and likely to increase over coming months


Ntaweka thread ya mkopo wa IMF na utachofanya
 
Mungu ajaalie mechi zilizobakia tushinde goli za kutosha..
IMG_4021.png
 
Mimi walinipa dozi ya kikombe kimoja tu...Walichukua mkonge wakauponda kwa kuwa walitaka niache pombe walichanganya na pombe ( beer) nakuchuja....Mimi aliyenipatia hiyo dozi ni mganga mmoja wa kihaya... Yeye akutaka kuniambia anatumia Mimi...Lakini Kuna Bibi wa Kihaya ambae ndo nimuanzilishi amekuwa akiwafundisha wengine....Mimi niliambiwa na mtu (Dada) anaemjua huyo Bibi wa Kihaya....

Kiukweli kwa hiyo dawa ukinywa Ina surmmarise maisha yako yote toka umezaliwa na kuwa Kama mtoto...Kiufupi nikama in flash ubongo wako....Ni dawa nzuri Sana....

RETROJAY
 
Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
huwezi kujua anything is possible imagine Madagascar imeifunga DR Congo tena walikuwa wanawapeleka puta! Football is about right strategy! Our women team has really been a motivation to men's team!
 
Mkopo kutoka IMF Summary

Tz inaenda kubadilika on social services

Water
New wells dams and water systems ..nmesahau specs..Magari ya kuchimbia visima na mabwawa

Eduaction

New 15000 Secondary Schools class rooms
New 3700 primary school classrooms
25 New VETA
17 if not mistaken lecture theatres
400k plus madawati
10,800 books for disabled

Afya 440 billion (Nahis percent kubwa )

100 plus Emergency Department buildings
72 New ICUs and equipment kwenye hospital mbali mbali
40 Oxygen plants kila hospital ya mkoa na some zonal na some za wilaya
4000 plus mitungi ya oxygen
2000 plus beds and lockers
CT scan 29 , MRI zonal hospitals , Digital Xray 85
One Stop Centre for Radiological solution kama ku share images
 
Mkivuka hii group bado kuna group nyingine ya heavyweights mnaeza patana na teams za west africa na north africa......niamini hamna team ya east africa au southern africa ina uwezo wa kucompete na hizo teams
Tukiweza kupita hapa ..i hope tutapata timu rahisi..ikishindikana basi
 
Back
Top Bottom