The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,852
- 82,426
Hii kasi tuliyochomoka nayo sio ya ukanda huu ni ya Europe, hii nchi alitakiwa mtu mmoja wa kutuamsha kutoka usingizini zen yeye akapumzike kwa amani, na ndivyo ilivyokuwa kwamba huyo mtu cku zote atafanywa kuwa benchmark na watakaofuata wote watapimwa kulingana na alichokifanya huyo mtu, asante sana Mungu baba, wewe ni mwema cku zote kwani sasa tumeiona iliyo kweli.Dar-Arusha
Dar-Dom
Dar-iringa
Kujengwa njia nne! That's great!