Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is run by donations and grants.

1633866867600.png
 
Acha ujinga, Unajifanya huku iona hii post inayoelezea Kenya ina kopa internally kulipa external debt ama?

According to the Controller of Budget, as recent as August 16, 2021 a syndicated loan of Sh15,035,407,020.70 was due for repayment and the Treasury went to the domestic market to borrow to repay the foreign debt.


Acha ku panic ndugu. Mwenzio kasha kaa. Anajaribu kuhamisha goli sasa hivi.
Bussiness daily mnaikubali sio kisa inaongelea habari kuhusu kenya

Unatafuta pa kutokea sio
 
Hawa ni fukara wa kutupwa aisee,
And also as good neighbor and elder brother, Kenya didn't miss among the well-wishers who frequently give donations to Tanzania. See how Magufuli was very happy to be given KCB cheque 😂😂😂


1633867584666.png
 
Mtoto (fetus) anapokuwa tumboni mwa mama yake, organ ya kwanza kabisa kujengwa katika kile kipindi cha rapid cell division (mitosis) ni moyo. Kazi kubwa ya moyo ni usafirishaji wa damu ambayo inabeba virutubisho, taka na hewa. Bila ya kuwa na mfumo bora wa usafirishaji, mifumo mingine yote haiwezi kufanya kazi.

Ufanisi (maendeleo, ujenzi, uchumi, sayansi n.k) kwenye maisha ya mwanadamu ni kugeza yale yaliyokwisha fanywa kwenye asili (nature) na Muumba.

Mawazo ya kibiashara ya Magu yalikuwa ya kiwango cha juu sana, yeye aliangalia misingi ya kujenga uchumi imara. Sio uchumi "artificial" wa kina Dr. Dau wa kujenga maghorofa wakati hakuna watu wakupangisha majengo hayo.

Magu alisisitiza kwenye usafirishaji (barabara, ndege, meli, reli na bandari). Baada ya hapo akaja kwenye nishati (Bwawa la Nyerere) ili kupunguza gharama za umeme kwa viwanda, kuchochea uwekezaji. Yaani unakuta kiwanda cha saruji Tanga na bandari vinakosa wateja kwasababu tuu reli iliyotegemewa imekufa, hamna anayejali. Anakuja mtu anaifufua reli hiyo halafu kuna watu kama Geza Ulole wanasema Magu hakuwa na mawazo ya kuichumi/biashara, kweli?
 
Suala ya Corona lilikuwa na siasa nyingi sana (mpaka sasa), katika nchi ambazo watalii wetu wengi wanatoka. Isingekuwa rahisi kuwashawishi watalii kuja, wakati nchi yetu ilichukua mtazamo tofauti wa kuikabili Corona. Ndiyo maana Zanzibar waliamua kuwashawishi warusi, hawa hawakuwa na agenda za kisiasa kwenye Corona.

Hata kama tozo ingepungua bado watalii wasingeongezeka kwakuwa nchi zao zingewatisha kuja nchini.

Kama isingekuwa sera zake ya maliasili, hata huko kupanda kwa bei kusinge tufaidisha.

Unamaana gani kusema mtu wa ujenzi tuu?

Uchumi gani usiotegemea miundombinu ya usafirishaji?

Wachina waliwekeza kwenye reli za mwendo kasi, miaka ya mwanzoni mwa 2000 na kuanzia 2008 tumeona impact yake kwenye uchumi wao. Leo wanamalengo ya kuwa na 70,000km za reli by 2035, kwanini tusifanye kama wao? Nchi hizi tajiri za Ulaya, Marekani na Japan ndivyo zilivyoendelea, kwa kujenga njia za usafirishaji kwanza halafu mengine yakafuata. Unafikiri wajerumani waliotutawala walikuwa wajinga kujenga reli ya Tanga na ya kati?

Ni sura gani hiyo anayoleta mama? Ni nchi gani kubwa zilizoendelea zilifanya hivyo kabla ya kujenga miundombinu dhabiti?
Mkuu, naona umejibu hoja vzr sanaaa, pongezi zangu kwako Chamoto
 
mama anasema zile ndege tano zilisainiwa hiv karibuni ni
-Dreamliner moja
-Boeing mbili (sio airbus ??)
-Mizigo moja
-Ndogo moja (Q-400)
Dreamliner ni Boeing pia..sasa anamanisha boeing ipi...? ya mzigo yenyewe ni Boeing 767 freighter ..labda tupitie budget au tusubir ijayo
 
Their country is run by donations. Even toilets they are waiting for donors to come and build.😂😂😂

Kenya yetu hatujawahi pokea donation please 😂😂😂👇👇


Humanitarian Aid Organization for Children › k...
Web results
Donate to Help Children in Kenya
Save the Children helps girls and boys in poverty in Kenya, providing education, healthcare, and disaster relief. Donate today to help children in need.
 
Duh!!noma sana
Masoko yao mengi pia ni donations
Yaanii Sisi Wakenya tuna pesa mingi hata face mask tunanunua kwa pesa yetu hatupokeangi donation yoyote jombaa😋😂😂👇👇

欢迎访问中华人民共和国外交部网站 › rwjl
Chinese businessmen donate 70,000 face masks to Kenya ...
15 May 2020 — NAIROBI, May 14 (Xinhua) -- Zhejiang Business Association Kenya, an association of Chinese business owners in Kenya, on
 
Yaanii Sisi Wakenya tuna pesa mingi hata face mask tunanunua kwa pesa yetu hatupokeangi donation yoyote jombaa

欢迎访问中华人民共和国外交部网站 › rwjl
Chinese businessmen donate 70,000 face masks to Kenya ...
15 May 2020 — NAIROBI, May 14 (Xinhua) -- Zhejiang Business Association Kenya, an association of Chinese business owners in Kenya, on
Face mask ni miundombinu
 
Back
Top Bottom