Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndege zenu zinaozea kwenye hangars na unapiga makelele hapa. Afadhali wenye wana ndege za mikopo ila zinapiga routes.
Cheki hapo
Screenshot_20211008-172230_Flightradar24.jpg
 
Sioni ni kwanini Tanzania tusitoboe kwenye biashara ya Anga wakati nchi yetu ni top destination in the world, sioni kwanini tusitoboe wakati sisi pekee ukanda huu ndio tuna international airports 3 ambazo zinajaa ndege za moja kwa moja za abiria na sio ndege za misaada za UN kama jirani zetu wanaotegemea uwanja mmoja, sioni kwanini tusitoboe wakati nchi yetu ndio iko kwenye position nzuri kibiashara na hivyo kuwa na abiria wengi wa Transit. Sioni kwanini tusitoboe wakati biashara ya mizigo ina potential kubwa kwa kuwa na mizigo mingi ya exports kama nyama, samaki, nafaka na mbogamboga.

Ninachoona ni ongezeko la ukubwa wa Terminals zetu ili kukidhi ongezeko la abiria ambalo litakuja kwa kasi sana baada ya dunia kufunguka na sisi kuongeza idadi ya ndege. Naiona ATCL ikiwa ni giant kwenye biashara ya Anga Afrika huku mashirika mengine yaliyosafiria nyota yetu kuanguka vibaya. Naiona Tanzania ambayo ni kinara kwenye biashara ya usafirishaji na Logisticts Afrika. Muda unaongea.
Ni suala la muda tu mkuu, wataelewa
 
Imeichukua Tanzania miaka 5 kufikia nusu ya ndege zote za Kenya (Kujumlisha na walizoazima)
Ila kenya inapiga safari mara 70 ya air Tanzania......mibongolala mnafaa muelewe air Tanzania haipo hata top 10 airlines in Africa. Eti airline safari ndefu inapiga ni safari ya chato ndo ya kulinganishwa na airlines zinapiga safari hadi za ulaya na marekani. Sijawai kuona watu wajinga kama watanzania wa hapa JF
 
Ila kenya inapiga safari mara 70 ya air Tanzania......mibongolala mnafaa muelewe air Tanzania haipo hata top 10 airlines in Africa. Eti airline safari ndefu inapiga ni safari ya chato ndo ya kulinganishwa na airlines zinapiga safari hadi za ulaya na marekani. Sijawai kuona watu wajinga kama watanzania wa hapa JF
Wewe tuliza mshono ,ni swala la muda mtaelewa Tu🙂🙂Kwanza tupe update ya BRT kwenu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanza, Kisumu, Nakuru, Eldoret.
ni kama hizi miji zote zinatoshana. mwanzoni nilidhamani Mwanza ni jiji kubwa sana ikizingatiwa kuwa ndo jiji No.2 Tz
Screenshot_2021-10-09-20-46-22-25.jpg
 
Kwanini wasingesubir mwaka 2045 wakipata hiyo pesa ya kujenga huu mradi ndio wajenge.? Kwasababu ndio ingekua ni kipindi ambacho huu mradi ungewaletea faida zaidi since utakua ni government owned... Sasahiv huu mradi utawaumiza wananchi wao na kumfaidisha mchina tu.. au kasi ya utendaji wa magufuli ndio ilimfanya KENYATTA afanye maamuzi ya hovyo Ili kusudi watu wake waone they still stronger than us.?
Km watu wangelikua na akili km hizi zako, basi dunia ingekwama..
Yani kw akili zako expressway haina faida kw nchi kisa toll, we unajua taifa litaokoa pesa kiasi gani zinazopotea kw ajili ya kutokuwepo hyo barabara..

We unajua impact yake katika uchumi ama unabwabwaja tu.
 
Ingekuwa bongo hapa watuu wangesusa kupanda, yani mtuu aache kupanda basi linalotembea 80 - 120 km kwa saa alafu ni luxury akapande huo utopolo wa 80km alafu nauli ni karibu na sawa Acha utanii jamanii
Story za vijiweni acha mkuu, km kitu hujui kaba
 
Back
Top Bottom