Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua kwanza kua na maamuzi ya mradi kama huo uliopigwa vita na Dunia nzima ni jambo kubwa sana na kuuanza kwa kutumia pesa za ndani pia ni jambo la kihistoria wakat mwengine ifike hatua tukubali jamaa alikua na maamuzi magumu ndio maana unaona mama kazi yake ni kuendeleza ile miradi yote ya jamaa na sisi hatuna chuki na mama kabisa Hilo lieleweke pia
Thank you.

Jamaa anatatizo flani la ajabu siwezi litaja hapa na kwingineko.

Inasikitisha kumchukia mtu kwa sababu ya mambo yasio asili yetu, yameletwa tu na hao watu ambao ni Wakoloni na kwaajili ya kutucolonize. Wanatuangalia tu tunavyojidiskrimineit wenyewe.

Ngugi wa Thiong'o: "Decolonizing The Mind"

Nimesahau hii: "The Art Of Making A Slave"

Ndipo shida ya jamaa na baadhi ya Mawaziri, Mabalozi, na ex president(s) ilipo.

Hao watu kama wangekua wanathamini or kujali uwepo wa uhalisia wa walichopandikiza vichwani mwa wengi, wasinge thubutu kuanzisha biashara ya utumwa, na kucolozine wengine.

Mfuasi yeyote wa mambo hayo ni MJINGA.
 
Wewe ni WA kupuuzwa,ila watu dizaini yako mnaotumia uhuru wa kujieleza kwenye mitandao vibaya kwa kukashifu na kutukana viongozi mjiandae kisaikolojia.

Onyo limetolewa na PM,Waziri wa mambo ya ndani na WA Habari na teknolojia..

Sheria ya mitandao aliyoasisi mwendazake haijafutwa,ipo nakukumbusha tuu kama mlidhani mliitunga kwa ajili ya Chadema sasa hivi ndio utajua sheria ni msumeno,endelea kutukana Rais..
Yaheee mbona mange kimambi kamtukana sana magufuli ila mama mashungi anagonga naye 5 au kumtukana mzarendo ni sawa ila kumtukana fisadi na kibaraka wa wazungu ni haramu
 
Yaheee mbona mange kimambi kamtukana sana magufuli ila mama mashungi anagonga naye 5 au kumtukana mzarendo ni sawa jla kumtukana fisadi na kibaraka wa wazungu ni haramu
Magu ndio alitakiwa kumkamata sio Kazi ya mama hiyo,na wewe kama ni mange endelea kutukana
 
Hebu tafadhalini kama nikiwa mwenyekiti naomba mjadala wa siasa tuachane nao na turudi kwenye thread kama inavotutaka kufanya tafadhalini sana
Give me a minute kwanza,maana naona kuna inzi za choni zimeingia kwenye huu uzi ,kwani sisi tukimsifu magufuli tumefanya kosa gani hadi tutukanwe na kudaiwa tuna msakama mama wakati mama anajichafua yeye mwenyewe kwa akili zake mbovu mfano kuweka tozo za uzarendo kwa masikini huku matajili wakipeta tu ,chanjo za kovidi kakurupuka mwenyewe ,kama nilivyo sema mama anajichafua mwenyewe kwa kuikataa akili na kupractise upuuzi yaani anachuja mbu na kumeza ngamia
 
Back
Top Bottom