Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,500
- 17,556
Hakuna kitu hapo ccm wamegawana pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu hapo ccm wamegawana pesa
Tuna zikusanya na kuchoma moto au tunafukia chini ,ila nyinyi tatizo lenu ni uchafu mnazitupa cbd na slumOnly 1% of dar waste is taken to landfillView attachment 1946886
Siunaona ulivyo mafiiii nimekwambia Tz mpka sasa tunatua 2015 kama base yearwhich was done in 2019.., kumbe hujui vile rebase inafanywa? tumia google vizuri, mbona kujiaibisha hivi?
Rebasing the GDP is the process of replacing an old base year with a more recent base year to keep up with the evolution in prices.
jaribu ku argue in line with rebasing economy., na hiyo ya Tz nione?.., semi illitrate kajiumbua leo 😂 😂 😂 😂 nenda ukaniletee picha ya ujenzi wa SGR ya umeme, hapo tutaelewana kaka.., na pia vigorofa different angles niburudike na Dar, mengine tuyaache tu 😂 😂 😂 😂 😂Self centred never understand or know the truth, there knowledge based on denial...so keep it up fool
Kwa ss wanajulikana kama PSSSF.Wengi pia hawajui haya majengo ni ya PSPF
View attachment 1946842View attachment 1946844View attachment 1946846
Hapo hata chakula unaweza ukaweka chini na kula ila kuna mji hapa EA huwezi hata pita hata kwa miguu jinsi mji unavyonuka.Widest road in dar slumView attachment 1946877
Pumbu imebanwa njooni Tz tuwasaidie kidogo.
😂 😂 😂 😂 😂 kwani ukifanya rebase unatumia current year as base? ona ulivyo kilaza, tafadhali wacha kuaibisha watanzania wenzako., keti nikusimulie., Tanzania ili rebase uchumi in 2014, where base year was 2007.,moving it from 2001.., hapa your govt took 7 years to rebase, but in 2019 taifa ili rebase by 5 years., 2015 ikawa base year. Kilaza wewe 😂 😂Siunaona ulivyo mafiiii nimekwambia Tz mpka sasa tunatua 2015 kama base year
....kwani ww ata uvhumi ulisoma au ni google ndio ulipata lessons
A GDP that cannot bail you out of trouble is a useless GDPHui inaitwa kisengele nyuma. Loan over loan .Sasa GDP iko wapi?
Nilijua umekufa aisee niliishakupigia dua ya kufika maala pema peponi.New selander brigde tayari washaikunyiaView attachment 1946891
Ni mafisadi papa hao wanauchungu kila wakiona ufanisi wa magufuli dhidi ya uhanithi wa mkwereMagufuli aliwekeza zaidi ya Trillion 3 Dodoma peke yake lakini hilo hawalioni ila wanaona ofisi na hospital Chato, chuki ikiongoza akili hasara kubwa
Bandari, hospital ya rufaa, airport Mtwara, meli 4 Nyasa, barabara kilometres 300 Kigoma, miradi ya maji ya matrilioni nchi nzima, umeme kila kijiji
Ukiamua kuhesabu kila alichofanya Magufuli kila wilaya moja moja hutomaliza leo ila jengo la tanesco Chato linawatoa roho, sitokei Chato wala hiyo kanda lakini Magufuli ni the best kwenye kila idara!
Wanatumia nguvu nyingi sana kufifisha lakini hawatofanikiwa!
Mpuuzi kikwete ndiyo kaanzisha mikoa mingi tu tz na majiji yasiyokuwa na miundombinu bora magu alikuwa ana fanya kazi nyingi kujenga nchiChato haimegwi Prof. Tibaijuka kashaweka-stop! Yaani baada ya kujimegea kila kitu mlitaka kutengeneza mkoa mkawanyang'anye Kabanga madini yao ya nickel! Kama si ukabila, uchoyo, tamaa na ubinafsi uliopitiliza, ni nini?
Taja mkoa mmoja usikua wa maana tu-compare na Chato Region!Mpuuzi kikwete ndiyo kaanzisha mikoa mingi tu tz na majiji yasiyokuwa na miundombinu bora magu alikuwa ana fanya kazi nyingi kujenga nchi
Angalia viwanja hapa wewe vimejengwa siku nyingi tuu na for your information hakuna hata club moja ya ligi kuu inayotokea huko.kirigiti stadium tuonyeshwe ccm kirumbaView attachment 1946897View attachment 1946898
Sizitaki mbichi hiziHata ikila ban, mpira wa mguu hatuna issue nao, wakitaka wapige Ban kabisa usichezwe, ila hiyo michezo mingine sasa, mnatuelewa sio?
Lakini unajua very soon uchunguzi wa kifo chake utadaiwa , mjipangeKuwa na adabu kuwadi mkubwa wa Chatogang! Mipandgo ya Mungu haina makosa though! Maana nina uhakika angeleta mpasuko mkubwa wa watu wa Kanda ile nchi ya Sukumagang na mpango wake wa kumega ardhi mikoa mingine!
CRDB Bank is renting her Chato Headquarters...!
Ndio tunakusanya data za census kwanza baada ya hapo rebasing inafuata so tegemea in 2023/24kabisa sijui kinachowafanya walale ni kipi
Wewe umeona kuna kibera style hapo kama Nairobi? That is 20km from cbd.Ni ngumu kutenganisha dar na uswaziView attachment 1946901
kweli mkuu..?Ndio tunakusanya data za census kwanza baada ya hapo rebasing inafuata so tegemea in 2023/24