Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukubwa wa GDP unaenda sambamba na state subsidy na social welfare ambayo Tanzania leads in comparison to Kenya na ndio maana life is cheap in Tz cause the state bears the burden.
so Nigeria na GDP ya $500B.., na watu fukara zaidi Africa yoote mko juu yao?., na nyie ni watatu baada ya DRC kwa watu wengi fukara wa kutupwa.., hizi fikra zenu mliokota wapi? st. kayumba ama?
 
Tanzania imefanya rebasing 2019, your GDP is just around $65 or below,.., revenue collections and income ya several sectors are evident of the size, haiwezi fika $70B hiyo ni uongo peupe, unatamani sana iwe ivyo lakini sivyo, propaganda peleka mbali, after every 5 years countries are supposed to rebase their economy to capture other sectors into the GDP according to world bank, which u obeyed, last ilikua 2014, where u rebased mkatoka kwa $30s mkaja hadi $44B., there, and then when u rebased in 2019 there was nothing meaningful to show, I remember, yaani taifa ni fukara., no additions to the GDP.., pengine muanze biashara ya gas., am sure it will add up to 20% or more.., lakini kwa sasa u maybe at %58B.., kiuhalisia.,
Wacha kujifanya mjuaji kumbe mafiii tuu....unajua mpka sasa tunatumia 2015 km base year?
 
Ww ni takataka wa maishaaa
 
Khaa, ati? Hebu mention hizo investments za Tshs 3 trln hapo Dodoma! Labda unamaanisha investments za Chato+Mwanza! Kumbuka majengo ya ofisi ya serikali Mama ndo katoa fedha, Dodoma ring road na airport fedha za AfDB ndo zimetoka! Muache kutufanya sie wajinga! JPM kajenga Ikulu (kasri la Mfalme) kubwaa ya Chamwino (extragavance), Tume ya Uchaguzi, NBS, Migration na ile hospitali isiyo na lift ya Uhuru! Na zile ofisi za wizara zilizo kama shule ya chekechea! Hebu leta hizo zinazofika Tshs 3 trln! Msikuze sana mambo jamani!
Sikujua na ww ni mwehu hivi?
 
Wacha kujifanya mjuaji kumbe mafiii tuu....unajua mpka sasa tunatumia 2015 km base year?
which was done in 2019.., kumbe hujui vile rebase inafanywa? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ tumia google vizuri, mbona kujiaibisha hivi?

Rebasing the GDP is the process of replacing an old base year with a more recent base year to keep up with the evolution in prices.
 
Who are you by the way?as pathetic as your, who care about your opinion?keep it in your tyte fool
kumbe haujui chochote ni kukurupuka tu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ .., REBASE ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ , kindly format hiyo kichwa yako, then come I fill it up with reason and proper knowledge., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom