Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu nyumbu ni fala, uhasibu na uchumi wapi na wapi? Hakuna mwaka nakisi ya bajeti ikakosekana na miaka yote huwa inapunguzwa kwa mikopo na misaada ya wahisani kwa hiyo huyo zwazwa wa CPA haelewi anachoongea..

Pili Serikali kupeleka bungeni supplementary ni jambo la uwazi , Mwendazake alikuwa anatumia bila approval ya Bunge kitu ambacho huwezi track fedha..

Mwisho nakisi lazima ingetokea kwa sababu fedha ambayo ilikuwa ipatikane kwenye tozo takribani 1T haitafikiwa kutokana na Rais kuagiza wapunguze viwango vya tozo na kuwaondoa watu wenye miamala kuanzia 1,000 kushuka chini,haya yameathiri matazamia ya bajeti lakini kwa fedha zilizopatikana zitafidia hiyo nakisi.
chief huwa haunaga mawazo mengine ya kudiscuss mambo zsidi ya kusnif kila siku we ni mwenda wake mwenda wake,

hebu grow mind set yako unaijaj maiti hata haikusikii unaishia kupoteza mda na nguvu nyingi for nothing
 
Huu mji una wakazi zaidi ya millioni 6 lakini ni kama miji ya Botswana, Namibia, Lesotho, Zimbabwe ambapo population ni ndogo sana, Dar ipo empty kabisa and cozy which is so good!
what!!?.. Naton Jr, hapo sijakuelewa poa, hebu re-frame your question in another style, nipate kukuelewa vizuri.....
 

Propaganda haina maisha marefu...,​

Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals​



SUNDAY SEPTEMBER 19 2021​

Debt pic

Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the heart of Dar es Salaam. A July central bank report shows that Tanzaniaโ€™s debt stock rose by $3.9 billion in one year. PHOTO | FILE

Summary

  • The debt stock represented an increase of $436.8 million from the preceding month and $2.76 billion from July 2020.
ADVERTISEMENT

By Ashura Ngwai
More by this Author

Dar es Salaam. The national debt increased by $3.9 billion in one year as the government is implementing infrastructure projects and improve provision of social services.

According to the Bank of Tanzaniaโ€™s (BoT) monthly economic review, the debt stood at $33. 7 bill at the end of July this year, having increased by $3.9 billion from July 2020.

External debt, comprising the public and private sector, amounted to $25.96 billion at the end of July 2021 and accounted for 77 percent of the national debt.

The debt stock represented an increase of $436.8 million from the preceding month and $2.76 billion from July 2020.

โ€œThe profile of external debt by borrower category remained broadly unchanged, with debt owed by the central government accounting for 77.7 percent,โ€ BoT stated.

According to the central bank of Tanzania, transport and telecommunication activities accounted for more than a quarter of outstanding external debt, associated with ongoing mega infrastructure projects, followed by social welfare and education, as well as energy and mining.

ADVERTISEMENT

On the other hand, the government domestic debt amounted to Sh17.8 trillion at the end of July 2021, a decrease of Sh1.12 trillion from June 2021 and an increase of Sh2.7 trillion from the corresponding period in 2020.

Longer-term instruments, which are Treasury bonds and stocks, sustained dominance in the composition of domestic debt, accounting for 84.7 percent of the stock.

External debt service payments amounted to $25.2 million, of which $21 million was principal, the central bank said.
So imf wamewaonea au ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Siwezi lazimisha ionekane pabaya, naonyesha hali kamili ya hiyo sehemu, yaani kuna kilaza anajimwambafy eti eastern Europe ila sehemu ni ndogo sana., anaficha uhalisia.., mko nyuma bado., Dar ya maana ni hii hapa ambapo mtapiga picha hizi buildings angles tofauti na kuweka humu, yani mnajitekenya na mnacheka wenyewe.., inakubalika kuota ndoto.., inaweza timia msife moyo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Zaidi ya hapa.., no where meaningful.., Mombasa is your level ukitoa BRT tu.., na gorofa ndefu chache..,
View attachment 1945849
Mombasa ipi unaongelea ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ile inayonuka ushuzi wa Bata nilikwambia siku utapata street za kisasa kama za mwanza mm nafunga acc jamii forum
 
Wivuu.., Kenya sio Tanzania ya domo domo ili kujiliwaza.., nenda kasemezane na wenzenu akina Malawi, ata kwa Ghana hamtoshi mboga!

Facts scream louder than propaganda

South African companies invest USD 100 million at Tatu City in Kenya​

USA - English​


NEWS PROVIDED BY
Tatu City
Jun 23, 2021, 05:43 ET

TATU CITY, Kenya, June 23, 2021 /PRNewswire/ -- Investment by South African companies has topped USD 100 million at Tatu City. The 5,000-acre Special Economic Zone โ€“ located 30 minutes from central Nairobi โ€“ represents one of the largest concentrations of South African foreign direct investment in Kenya and East Africa.
Ms Jenny Coetzee (Left), MD, Crawford International, and H.E. Mr Mninwa Johannes Mahlangu, High Commissioner of South Africa to the Republic of Kenya, cutting the ribbon during the Crawford Road naming ceremony
Ms Jenny Coetzee (Left), MD, Crawford International, and H.E. Mr Mninwa Johannes Mahlangu, High Commissioner of South Africa to the Republic of Kenya, cutting the ribbon during the Crawford Road naming ceremony
South Africa's High Commissioner to Kenya, Mninwa Johannes Mahlangu, toured investments by leading South African companies at Tatu City on Tuesday. His stops included Crawford International school, a 20-acre, multi-billion-shilling investment by ADvTECH, the Johannesburg Stock Exchange-listed education group; Kenya Wine Agencies Ltd (KWAL), which is majority owned by South African beverage conglomerate Distell; and Cold Solutions, an investment by ARCH Emerging Markets Partners, which is backed by South African businessman Patrice Motsepe.
"I am delighted to witness these transformational investments South African businesses are making in Kenya," High Commissioner Mahlangu said at a ceremony to mark the naming of Crawford Road, which leads to Crawford International School in Tatu City. "The South African and Kenyan governments are committed to strong bilateral trade and investment, and our private sector businesses are natural partners to grow capital flows and knowledge exchange."
Jenny Coetzee, Managing Director, Crawford International, said that ADvTECH's first Crawford International school had experienced a surge in enrolment in Kenya since opening in 2019 in Tatu City.
High Commissioner Mahlangu visited the site of Cold Solutions, a 15,000 sqm flagship facility, which will improve food and pharmaceutical security and promote economic development in Kenya and the region. ARCH's Cold Chain Solutions East Africa Fund, which is undertaking the investment, is jointly owned by Africa Rainbow Capital, which is backed by South African entrepreneur Motsepe.
"Cold Solutions' first facility in Kenya is on track to open next year and experiencing strong demand from tenants ranging from food to pharmaceutical companies," said Jared Irving, Managing Director.
The high commissioner concluded his visit at KWAL, which broke ground on a USD 40 million production and distribution facility at Tatu City on 12 February 2021. In addition to Distell, the Kenyan Government is a significant shareholder through the Industrial and Commercial Development Corporation.

Nairobi-based plastics firm to open new plant at Tatu City​

THURSDAY JUNE 17 2021
tatu

Signage at Tatu City. FILE PHOTO | NMG

Super Plastics plans to open a new manufacturing facility at the Tatu Industrial Parkโ€™s light industrial and logistics zone.

The firm will specialise in manufacturing light density polyethene plastic products for cosmetics and pharmaceutical companies in Kenya and East Africa.

โ€œWe chose Tatu City because we want to settle into a modern industrial park and take advantage of the ready infrastructure.

โ€œTatu Cityโ€™s fully-serviced plots already have ready roads, water, power, wastewater and ICT.

โ€œTatu City Special Economic Zone gives us incentives to increase our investment, expand our business and create more jobs. We also look forward to the opportunity to tap into the business-to-business synergies at Tatu Industrial Park,โ€ said managing director Stephen Gathiaka.

Early this month, Tatu City appointed Australia-based construction company SMEC as the lead infrastructure consultant for the second phase of its Tatu Industrial Park development in Ruiru.

ALSO READ​


SMEC will oversee tendering and building of roads, drainage, street lighting, water distribution pipeline and wastewater system, electrical networks and IT systems at the 2,500-acre site, with the work expected to be completed in May 2022.

The new city is expanding to meet the demand for businesses, homes and social amenities.

Already, phase one of the project, which measures 2,500 acres, is 90 percent complete.

Some of the latest companies to take up space at Tatu City are education books supplier Mountain Top Publishers and two schools โ€” Crawford International and Nova Pioneer, with more than 3,000 students.

Mountain Top Publishers Moves To Tatu Industrial Park​

NAIROBI, Kenya, May 31-Mountain Top Publishers, a leading supplier of educational books to Kenyan schools, announced that it will open a new publishing facility in Tatu Industrial Park, East Africaโ€™s leading light industrial and logistics zone.

Mountain Top Publishers specializes in educational books in both print and digital formats. The companyโ€™s mission is to spread the power of knowledge through high-quality, international standard education materials.

โ€œWe are pleased to welcome Mountain Top Publishers to Tatu Industrial Park,โ€ said David Karimi, Head of Sales for Tatu City, the 5,000-acre Special Economic Zone located on Nairobiโ€™s doorstep. โ€œTatu Industrial Parkโ€™s world-class roads, water, waste, and ICT provide the perfect platform for the companyโ€™s continued growth and education innovation.โ€

For nearly two decades, Mountain Top Publishers has supplied leading Kenyan education institutions. The companyโ€™s titles, available nationwide in leading bookstores and designed with a variety of learning experiences, are household names for parents and schools.

โ€œThe spirit of Kenya is rooted in our education, and Mountain Top Publishers is proud of the role it has played in the countryโ€™s scholastic excellence,โ€ said Lawrence Njagi, Managing Director of Mountain Top Publishers and Chairman of the Kenyan Publishersโ€™ Association. โ€œThe live-work-play environment of Tatu City is ideal for our new facility, where we will chart the next stage in Mountain Top Publishersโ€™ growth.

Currently at Tatu City, more than 60 businesses have opened or started development, 5,000 homes are completed or under construction and two schools โ€“ Crawford International and Nova Pioneer โ€“ educate more than 3,000 students daily.
Mradi una over 14yrs na haujafkisha hata 1% ya render yenyewe au nadanganya ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Huyu nyumbu ni fala, uhasibu na uchumi wapi na wapi? Hakuna mwaka nakisi ya bajeti ikakosekana na miaka yote huwa inapunguzwa kwa mikopo na misaada ya wahisani kwa hiyo huyo zwazwa wa CPA haelewi anachoongea..

Pili Serikali kupeleka bungeni supplementary ni jambo la uwazi , Mwendazake alikuwa anatumia bila approval ya Bunge kitu ambacho huwezi track fedha..

Mwisho nakisi lazima ingetokea kwa sababu fedha ambayo ilikuwa ipatikane kwenye tozo takribani 1T haitafikiwa kutokana na Rais kuagiza wapunguze viwango vya tozo na kuwaondoa watu wenye miamala kuanzia 1,000 kushuka chini,haya yameathiri matazamia ya bajeti lakini kwa fedha zilizopatikana zitafidia hiyo nakisi.
Ushaanza kujamba moto na hauli Kuni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ukipata data inasema uchumi wa kenya ni mara ya mbili ya Tanzania kwanza mm nafunga acc Cha pili ukijua debt to GDP ratio inamaanisha nn basi bangi umepinguza
Ichoboy ntoo nikuoneshe vijimambo. hii ni IMF and WorldBank 2021, ah!ah!๐Ÿ‘ sio sisi. ni wao ndo wako na hadhi ya kufanya hii mambo
2021_09_21_01.01.57.jpg
2021_09_21_01.02.54.jpg
2021_09_21_01.03.22.jpg
najua tu, kila mara ninapo wa sukumia hii list, inawachoma sana.. mnakereka sana hadi mnaskia kujitia kitanzi kama sio kuingia kwenye kisima ama furnace. huku mkidai eti munaonewa. wao ni watalamu na wanajua wanachofanya, waulize wao sio sisi. but ntawaomba tu kitu kimoja. mkubali tu matokeo ila msikonde, ivo tu ndo kunaendaga๐Ÿ˜†
 
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.

Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.

Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
1: UTANGULIZI.
Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato nchini. Wakati huo huo kuna fursa mpya zinazaliwa.

Tanzania inasifika kwa kua na rasilimali nyingi, lakini richa ya hayo yote nchi imekosa muunganiko mzuri kati ya rasilimali zilizopo na kiwango cha maendeleo tulichofikia. Ni kivipi? Tuangazie mchanganuo huu kidogo.

=> Rasilimali; huhusisha vitu vyote vinavyopatikana katika mazingira yanayotuzunguka ambavyo vinaweza kutusaidia kukidhi mahitaji yetu. Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali mbalimbali na za kujitosheleza. Mfano; Tanzania ina...;

โ€ขArdhi yenye rutuba inayofaa kwa kilomo takribani hekari milioni 44, ila asilimia 33% tu ya hilo eneo ndio hulimwa. Pia tumezungukwa na vyanzo vya maji, bahari mito na mabonde, na maziwa makuu yasiyopungua matano(5).

โ€ขInamadini adimu duniani yanayopatikana kwa wingi kama vile Almasi, dhahabu, Tanzanite, ulanga, nikeli, uraniumu, lithium nk. Pia kuna gasi asilia inayokadiliwa kua na ujazo wa futi cubic trilioni 25-30, Kwa mujibu wa PFC Energy.

โ€ขVivutio vya utalii vinapatikana kila pembe na katikati ya nchi, hifadhi za taifa zipatazo 22, ambazo kwa ujumla wake zinachukua asilimia 15% ya eneo la nchi ambalo ni sawa na nchi ya Croatia.

โ€ขRasilimali watu/nguvu kazi ya taifa inakadiliwa Tanzania inaidadi kubwa ya watu wapatao milioni 61, ambao wanaweza kutumika katika sekta mbalimbali za uzalishaji.

โ€ขIna jiografia nzuri iliyokaa kimkakati na kifaida zaidi, kuna bahari inayotumika kusafirisha na kuingizia mizigo wakati huo huo kuna nchi jirani zisizopungua nane(8), kati ya hizo kuna nchi sita(6) zisizokuwa na bahari hivyo kwa namna moja au nyingine zitaitegemea Tanzania katika usafirishaji.

=> Uchumi ni nini; ni namna ambavyo jamii ya nchi husika inaweza kuzichunga/kuzitunza na kuzitenga rasilimali zao adimu kimkakati zaidi ili ziwaletee maendeleo. Kuna uchumi mbalimbali kulingana na rasilimali zilizopo mfano; uchumi wa bluu(blue economy) unatokana na shughuli za majini, uchumi wa viwanda, uchumi wa kilimo , madini, utalii biashara, huduma mbalimbali nk.

=> Maendeleo ni nini; ni mchakato mzima unaepelekea kuimarika ama kufanikiwa kwa uchumi na maisha bora kwa raia(ustawi wa jamii) katika nchi husika. Kwa mfano; kuimarika kwa miundombinu ya mawasiliano na usafirishaji, viwanda, biashara na huduma za kijamii.

Maendeleo endelevu ni maendeleo yalio bora zaidi kwakua yanahakikisha upatikanaji wa mahitaji ya kizazi cha sasa pasipo kuathiri upatikanaji wa hayo mahitaji kwa kizazi cha baadae.

Kutokana na kukua maradufu kwa idadi ya watu inatakiwa hayo maendeleo yaendane na sayansi na teknologia iliyopo kinyume na hapo itakua ni uvunaji wa rasilimali uliokithili na utaharibu sana rasilimali kwa faida kidogo.

Kwa kuangalia mchanganuo huo tunapata mwangaza na kujitasmini sisi kama taifa, Je? tunastahili kuwa katika kiwango hiki cha maendeleo ( cha uchumi wa kati kiwango cha chini), tukilinganisha na utajili wa rasilimali tulizonazo. Hebu tufanye tasmini ndogo isiyohitaji hata milinganyo ya kihesabu.

โ€ขJe, Tunamiundombinu ya uchukuzi na mawasiliano iliyojitosheleza na imara, kama vile reli balabala madalaja bandari na viwanja vya ndege pia kasi na mtawanjiko wa mikongo ya njia za mawasiliano. Itakayo rahisisha biashara na shughuli nyingine za kijamii na kiuchumi.

โ€ขJe, Huduma ya elimu nchini imeimarika, yaani elimu bora kwa wote, kuna vitendeakazi vyakutosha, viti vyakutosha, madalasa na je shule zinajitosheleza nchini?.

โ€ขJe, huduma za afya nchini zimeimalika, vifaatiba na madawa yanapatikana , matabibu vitanda na hospitali zinatosha kanda mbalimbali nchini.

โ€ขJe, Huduma za maji safi na salama pamoja na umeme vinapatikana kwa uhakika(masaa 24).

โ€ขJe, Ulinzi na usalama wa raia na mali zao unaridhisha hapa nchini, vitengo vya polisi na zimamoto utendaji wake ukoje wanavitendea kazi vya kisasa.

Bila shaka maendeleo tuliyonayo tokea uhuru (miaka 61) ukilinganisha na rasilimali tulizonazo haviendani (ni mbingu na ardhi). Fikilia nchi kama Korea, Israel au hata Rwanda wangekua na hizi rasilimali, Tanzania tungekua kwenye orodha ya nchi zinazopokea msaada kutoka kwao.

Pia maendeleo tuliyonayo hayaendani na kasi ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia, serikali haina muamko. raia ndio tunawahamasisha kila siku kama vile, kuboresha masuala ya miamala ya kidijitali.

Sasa kama ni hivyo tatizo ni nini/tunakwama wapi.?

2: Sababu Zinazopeleke Kukwama au Kusuasua Kwa Maendeleo Tanzania.

=> Kukosa mfumo madhubuti wa uongozi:

Katika sehemu ya ndani kabisa/kiini cha nchi(sistimu) ilishidwa kufanikisha kuundwa kwa mfumo imara usio teteleka na vuguvugu za kisiasa (vyama mbalimbali). Ilitakiwa nchi kama nchi iwe na misimamo yake halafu hayo matakwa ya ilani za vyama yawe kama mapendekeza tu na sio nchi kutekeleza kwa kegezo kua chama fulani kinaongoza.

Kuna baadhi ya vitengo hasa kitengo cha intelijensia vimekosa weledi yawezekana kuna mamluki waliopenyezwa kwa maslahi ya watu shilika au kampuni binafsi, kama sio sasa wanashidwaje kutoa taarifa mamlaka husika na kwa wakati sahihi nakushinikiza hatua zichukuliwe kwa wahisiwa. Matukio ya ufisadi mkubwa, rushwa, madawa ya kulevya kwanini hatua za makusudi hazichukuliwi kukomesha haya. Laiti kama pesa zilizopotea kwa ufisadi zingetumika kama ilivyopangwa leo hii tusingekua tunahangaika kukatana tozo kwaajili ya ujenzi wa vituo vya afya, tungekua hatua nyingine kabisa. Wananchi tunajitahidi kuchagua viongozi bora ili tupate utawala bora, lakini unazongwazongwa na kupoteza mvuto.

Tuangalie mfano huu unaoendana na asilimia 80% ya watanzania wanaotegemea kilimo (uti wa mgogo wa taifa).

Fikilia kwamba;
โ€ขSerikali ==> shamba,
โ€ขWananchi ==> wakulima,
โ€ขViongozi ==> mazao yaliyopo shambani bado ambayo yametokana na wakulima kuchagua mbegu bora kwa kutarajia kupata mazao mengi yenye ubora.

Wakulima wanashauriwa kua makini katika kuandaa shamba na mbegu, mara baada ya kupanda na mimea kumea, magugu huwa yanatokea kusikojulikana, lakini huwa yanakua na mbegu zake ambazo inawezekana zilifika shambani kwa kuletwa na wanyama, upepo, zilizochangamana na mbegu za mazao zilizopandwa na mkulima(seed mimicry), ama zilikuepo tu shambani miaka na miaka(Striga weed seeds).

Kiasili magugu huwa yanakua na nguvu kushinda mazao, yanastawi pasipo hata matunzo yoyote, yakiachwa bila kuondolewa kwa wakati hasa kipindi ambacho mazao yanakaribia kuchanua utakosa kabisa mavuno, huku magugu yakiwa yamesheheni mazao yake.

Ni hivyo hivyo hata kwa wadudu waharibifu, (ukicheka na nyani utavuna mabua).

=> Rushwa/Siasa rushwa (Malpolitics):
Nimatumizi ya nguvu ya dola yanayofanywa na baadhi ya watumishi wa serikali au/na mitandao ya watu wao wa karibu kwa kujipatia au kufanikisha jambo lao binafsi kwa njia isiyo halali. Hapa siajabu ukakuta kiongozi anashilikiana na wafanyabiashara,makampuni makubwa nchini na nnje ya nchi tokea kipindi cha kampeni mpaka anapata madaraka, tutarajie nini hapa? Watakua wananufaika hao wafanyabiashara na makampuni kwa kutekeleza miladi isiyokua na tija kwa taifa bali wao tu.

Kwahiyo rushwa ni adui wa haki na maendeleo katika nyanja zote uchumi,kijamii na kisiasa.

=> Kufifia kwa hari ya uzalendo na uwajibikaji kwa viongozi na raia kwa ujumla (patriotism):
Asilimia kubwa ya viongozi hapa nchini huwa wanakua wazalendo mwanzoni, wakishakaa madalakani mitazamo na misimamo inabadilika hii ni kwasababu wanajitenga na jamii, makazi yao na harakati zao zinafanyika mazingira ya hadhi fulani kila siku, wanakua kwenye obwe la faraja(comfort zone). Hapa siajabu ukakuta wabunge wanajadili mambo muhimu katika hari ya mzaha mzaha na kupitisha vitu ambavyo kwa wananchi ni mkuki, pasipo kupata maoni kwa wananchi hawatastuka kuwa tunawabebesha mizigo mizito wananchi, (aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa).

Tungekuwa wazalendo haya mambo yangekuwa yamerekebishika, viongozi wangetembelea wilaya majimbo na vijiji mbalimbali kijionea hari halisi na kutatua changamoto mbalimbali, na pia wananchi wamekua ni watu wakuiraumu na kuisusia serikali.

=> Kukosa dira ya maendeleo yenye kupewa nguvu na kipaumbele:
Dira ya maendeleo haipewi kipaumbele/uzito wake unaostahili katika utekelezaji wake. Yaani dira ya maendeleo inachukuliwa kama ahadi za kwenye kampeni, itekelezwe isitekelezwe sawa tu.

Tanzania hatuna vipaumbele maalumu katika kujenga uchumi, na ndio maana kila serikali inayoundwa inakuja na sera zake mpya zitakazo tegemea ilani ya chama husika. Kila awamu malengo yanabadilikabadilika kabla hili halijakamilika linaletwa lingine mara kilimo kwanza mara tanzania ya viwanda. Sasa kama taifa kwa mfumo huu ni ngumu kufanikiwa, tunakosa msingi na uchumi wa nchi unakosa muunganiko mzuri. Kuna msemo unasema "Badilisha mbinu/njia za kuyafikia malengo, usibadilishe malengo).

3: Ni Nini Kifanyike Ili Kuinua Uchumi Wa Tanzania Uendane na Rasilimali Zilizopo:

=> Kuimarisha mfumo mzima wa uongozi na utendajiwake wa kazi:

Maboresho zaidi yanahitajika katika sheria na katiba ya nchi, kuwe na kiwango kikubwa cha uwazi haki na utawala wa sheria. Pia kufanyike maboresho makubwa katika vitengo vya ulinzi na usalama hasa kitengo cha intelijensia, hivi vitengo utendaji wake wa kazi unatia shaka. Vichunguzwe je? Kuna watumishi wanaofaa wenye weledi wajuu na wanaoweza kuendana na hii kasi ya sayansi na teknolojia.

Hayo maboresho yataongeza uwajibikaji na uzalendo kwa viongozi na raia na kupunguza vitendo vya kiharifu kama vile rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za uma kwa wananchi na viongozi kwa ujumla.

=> Kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote:
Hadi kufikia kiwango ambacho hakitaathiri mwenendo wa uchumi wa nchi. Hili litafanikiwa endapo tutakua na uongozi imara, wenye sheria itakayo muwajibisha yeyote pasipo kujali hadhi yake katika jamii. Isiwe kama hili, makosa yanafanywa na raia wa matawi yote ila wanao onekana magelezani ni masikini tu.

Ufisadi umechangi pakubwa mno kwenye kudidimia kimaendeleo nchini, pesa ambayo ilipotea kwenye skendo za ufisadi hapo nyuma ingetatua changamoto za huduma za afya elimu na maji mijini na vijijini kipindi kile, leo hii tungekua tunafanya hatua nyingine za maendeleo za juu zaidi. Inatakiwa haya mambo mabaya yasijirudie tena ili tuweza kusonga mbele, inatakiwa hili swala la ufisadi na rushwa lipewe nguvu ya kisheri ili mali ya umma iwe ya moto kwa fisadi yeyote yaana asiitamani kabisa ili tusonge mbele.

=> Kuandaa dira ya maendeleo ambayo itapewa nguvu/uzito na kipaumbele kwa mujibu wa sheria:
Dira ijumuishe mambo muhimu yenye maslahi mapana kwa taifa ambayo yatakua kama dira au maono, ambapo kabla maamuzi hayajachukuliwa juu ya utekelezaji wa jambo lolote inatakiwa turudi(kurejelea ) katika dira na kuona dira inasemaje? Unakua ndio msingi kupitia huo mambo mengine yanafanyika(Organizing principle). Inatakiwa pia hiyo dira iwe inaweza kunyumbulika ili kuendana na mabadiliko ya rasilimali sayansi na teknolojia,(Architectural thinking).

Dira ambayo itaangazia katika sekta mbalimbali huku kipaumbele kikielekezwa katika tafiti za kisayansi na teknolojia mahususi katika sekta husika kama vile;

โ€ขsekta ya sayansi na teknolojia: ili tuweze kua na uchumi wenye nguvu na ushindani ni muhimu kujiimalisha katika hii sekta, tuweze kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kujikita katika tafiti za tiba vyombo vya moto na tehama(wenzetu huko duniani wako kwenye mapindizi ya nne ya viwanda (fourth industrial revolution)).

Je tunaweza kupambana na vita ya kiuchumi, mashambulio yakimtandao, uharifu wa kibiolojia? Tumejipanga vipi na hizi changamoto?

Tuige mfano hata kwa majilani zetu Rwanda kwa hatua wanazopiga wakati huohuo sisi tunaangalia tu nasioni jitihada zozote zikichukuliwa.

Kama ilivyo Israel pale mashariki ya kati inawezekana Rwanda ikawa hivyo huku kwetu kusini mwa jagwa la Sahara hapo baadae, tuchunge sana.

โ€ขSekta ya kilimo: bajeti iongezeke maradufu katika sekta ya kilimo ili kuchochea tafiti za mbegu bora kuendana na kanda husika, kuongeza wataalamu wa kilimo wa ngazi ya juu kufanya kilimo kiwe cha kisasa zaidi, harafu viongozi waache siasa kwenye kilimo, kilimo ni sayansi kama sayansi nyingine! Wengi wetu hatujui hilo kwasababu asilimia kubwa ya wakulima wetu wanafanya kilimo cha kienyeni kwa matumizi ya nyumbani. Kwenye kilimo cha kisasa na chenye tija haitakiwi kuharibu kanuni, pembejeo iwe mbegu mbolea au viwatilifu zinatakiwa kutumika kwa kiwango sahihi, mahali husika na kwa wakati sahihi kinyume na hapo kilimo kimekushinda. Ni sawa tu sayansi ya umeme ili taa iwake inatakiwa kuwe na chaji hasi (-) na chanya (+) katika mfatano maalumu ukienda tofauti na hapo taa haiwaki.

Sasa je? Kama kweli kilimo ni uti wa mgongo wa taifa na asilimia 80% ya raia wanategemea kilimo, inakuwaje tena pembejeo hazifiki kwa wakati, wakati huohuo bei ni ghari sana. Sasa kilimo ni uti wa mgongo au unyayo? Maana selikali mnabebwa sana na kilimo ila hambebeki. Asilimia 65% ya mizigo ilivyo safirishwa nje kibiashara ni inatokana na kilimo, pia kilimo kinachangia pato kubwa zaidi kuliko sekta nyingine yoyote ile asilimia 28% ya pato la taifa.

Tanzania haistahili kwenda kujifunza kilimo kwenye nnchi yenye jangwa na ndogo vile(Israel).

Kwahiyo kilimo nako kuwe na muelekeo ili tuweze kujitosheleza kwa chakula na mazao yanayobakia yasafirishwe sokoni pia ni moja ya malighafi viwandani kwa ukuaji wa uchumi.

โ€ขSekta ya viwanda:
Viwanda vya ngazi zote dira iangazie huku pia. Idadi ya viwanda nchini hairidhishi vinatakiwa viwanda vingi hasa vinavyotegemea malighafi za kilimo na madini. Tena viwanda vikishamili vitasaidia kupunguza tatizo la ajira nchini kwa kiwango kikubwa.

Nisawa kunauwezekano tusiweze kuendesha viwanda vyenye teknolojia kubwa lakini je?tutashidwa kupunguza uagizaji wa mitumba na nguo dalaja la tatu kwa ubora, na kuanzisha viwanda vyandani vya nguo bora kabisa mbona pamba tunalima ya kutosha.! Mafuta yakula, sukali vipuri na magurudumu ya gari je?

Changamoto zingine kama upungufu wa ajira kwa vijana utakao kuja kushuhudiwa ndani ya muongo mmoja na nusu baadae ni kujitakia tu kwa serikali, hivyo dira maalumu inahitajika sasa.

Madini yanayohitajika kwenye ulimwengu wa sasa (mapindizi ya nne ya viwanda) wa magari na treni za umeme, uundwe mpango maalumu wa kutafuta wawekezaji ikiwezekana zitengenezwe bidhaa ziliyokamilika hapahapa nchini. Mfano Lithium hadi kua betiri (batteries) za magari.

Ukiangalia rasilimali za madini ya Lithium, chuma, makaa ya mawe na nasikia kuna Helium ya kutosha, kwa malighafi hizi naona zimeendana na Elon Musk kabisa, tunaweza tukamshawishi aje awekeza tawi la Tesla(terafactory) na utafiti wa anga za juu hapa Tanzania (Space X branch in Tanzania).

=> Ushirikishwaji wa raia katika kutunza na kuendeleza rasilimali za taifa:

Raia wanakua wanafuatilia kwa umakini kabisa rasilimali, miradi inayoendelea mikataba yake ikoje, pamoja na mapato na matumizi yanaenda sawa sawa.? Hii itakuwa kama tu vile raia tunavyoshilikishwa kwenye ulinzi na usalama , utalii na katika utunzaji wa mazingira. Ila hii yasafari hii itakua rahisi kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia hasa katika mawasiliano, tutatumia mitandao ya kijamii kwa mujibu wa sheria serikali inaweza ikaanda jukwaa maalumu pengine hata katika mtandao wa Jamiiforum, watu maalumu au wote wataruhusiwa kuperuzi takwimu mbalimbani na kuhoji au kutoa michango yao.

Hii itaongeza uwajibikaji, uwazi na kupunguza vitendo viovu kama vile ufisadi ubdhilifu rushwa na utoroshwaji wa mali za taifa.

4: HITIMISHO.
Licha ya kuwa na maendeleo ya wastani, Tanzania tumekua na amani mshikamano na umoja tangu uhuru. Ukiachilia mbali jitihada kubwa tulizozichukua kupigania uhuru wetu na wamajirani zetu,Kumtia adabu Iddy Amin Dada na majanga yakiasili yaliyojitokeza huku tukiwa bado taifa changa, hatuna budi kujipongeza na kuzishukuru serikali na viongozi wote wa Jamhuri Ya Muungani wa Tanzania.

#Kazi Iendelee...!
 
mnaringa saana na hio mkapa stadium yenu. Ile day mta host a high profile, worldclass sprinting event ka hii where speeds of upto 9.75(Bromell) and 9.76(Omanyala, a kenyan) are achieved .. aki walai, hio day na close my a/c JF where you also have the likes of Justin Gatlin, Mike Rodgers, Trayvon Bromell, and so on..
'zidini tu kushobokea Yanga na Simba!'๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†
 
chief huwa haunaga mawazo mengine ya kudiscuss mambo zsidi ya kusnif kila siku we ni mwenda wake mwenda wake,

hebu grow mind set yako unaijaj maiti hata haikusikii unaishia kupoteza mda na nguvu nyingi for nothing
Hapo maiti yenu imehusikaje? Acha ujinga mimi nakosoa maoni ya huyo anaejiuta mhasibu kwa kulinganisha awamu ya 6 na awamu ya 5 kwenye ku deal na issue ya budget deficit..

Na wewe statement nzima ukaona main point ni mwendazake tuu? Wajane bwana
 
Back
Top Bottom