Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,538
- 13,001
#Shujaaz did their best, congrats for taking the second place. S.A. is not a walk in the park, we're still rocking in Africa & int'l 😁🇰🇪 🔥
Kwanini mnaita kata yenu Wastelands? Si mngeita tu nchi-ya-matakataka au taka-nchi inasikika vizuri! Jalalani pia sio mbaya!1-Braeburn International School
2-Arthur Rimbaud - L'école française de Dar es Salaam
3-Canon Andrea Mwaka School
4-Genesis Schools
5-Kennedy House International School
6-Laureate International School - DSM Secondary
7-The Latham School
My take - nyani haoni kund... 😂 😂 😂 Hayo yote ni majina ya uswahilini? Acha udwanzi dogo! 🤣
mna ardhi, maji, madini., lakini fukara, kama sio ujinga ni laana., mko hovyo kupindukia 😂 😂 😂Mnaishi kwenye jangwa
Mnakufa njaa
Mnaishi kwenye slums
Mnauzwa Libya
Hamna maji
Kipi kingine zaidi kioneshe mlivyo hovyo?
Kama vipi wasicheze kabisa, hatuna haja na mpira wa miguu sahi 😁😁😁wameleta kocha mpya kwa mkataba wa miezi miwil
hawafiki mbali hawa
1. uwanja wao umekula ban
2. kocha alieletwa haaminiki
3. hawana hela
View attachment 1946129
his records View attachment 1946130
Genesis - mwanzo 😁 yabadilisheni hayo yenyu kwanza... Oyster Bay, mmae! 🤦🏾♂️ 😂 😂 😂 😂 😂Kwanini mnaita kata yenu Wastelands? Si mngeita tu nchi-ya-matakataka au taka-nchi inasikika vizuri! Jalalani pia sio mbaya!
Wastelands 1 : barren or uncultivated land a desert wasteland. 2 : an ugly often devastated or barely inhabitable place or area. 3 : something (such as a way of life) that is spiritually and emotionally arid and unsatisfying.
mna ardhi, maji, madini., lakini fukara, kama sio ujinga ni laana., mko hovyo kupindukia
Wabongo na mihogo, kiepe, yai, duh! Level hizi labda Yesu arudi! 🤣 🤣 🤣
Kila mtu atumie alichopewa! Ishaisha iyo! 🤣Na nyie kuweni navyo
Nick Mwendwa ni kasuku tu, kazi ni kuropokwa tu kama nyie watanzania, domo domo kwa wingi, but empty, no meaningful points.., huyu coach zile team alikua ana coach hazijawai kufika mbali, Kenya ikifaulu itakua ni ujasiri ya wachezaji na neema za mwenyezi Mungu haitakua huyu coach, ni maembe sana kulingana na record yake, na pia Taifa stars yenu haina muscles to survive all the way.., mko weak sana, I followed your games, mnacheza na vi team hafifu, DRC wameisha, alafu mbona mnaamini sana Ashi Manula wa Simba kukuwa goalkeeper wa Taifa stars?, huwa anafungwa bao rahisi sana, mpira inaingia tu ni kama hakuna keeper, ile rahisi kushika.., upande wa goalkeeper na defence mko ovyo kwa sasa.,wameleta kocha mpya kwa mkataba wa miezi miwil
hawafiki mbali hawa
1. uwanja wao umekula ban
2. kocha alieletwa haaminiki
3. hawana hela
View attachment 1946129
his records View attachment 1946130
Kufa njaa karne ya 21 na kupigwa mnada kama chupi ya mtumba Libya ni something phenomenon!mna ardhi, maji, madini., lakini fukara, kama sio ujinga ni laana., mko hovyo kupindukia 😂 😂 😂
nani amekufa njaa Kenya huu mwaka? ama unaandika tu ili ujiliwaze fukara? 😂 😂 😂 😂 😂Kufa njaa karne ya 21 na kupigwa mnada kama chupi ya mtumba Libya ni something phenomenon!
Less than 1 million diaspora to surpass 59+ million dummies is ponder!
wenzio wanakufa Turkana!nani amekufa njaa Kenya huu mwaka? ama unaandika tu ili ujiliwaze fukara? 😂 😂 😂 😂 😂
Ni lini mtazifukua hizo akili mlizozichimbia huko matakoni mbadilishe jina la nchi yenu?Genesis - mwanzo 😁 yabadilisheni hayo yenyu kwanza... Oyster Bay, mmae! 🤦🏾♂️ 😂 😂 😂 😂 😂
Kuchinja na kuwala albino karne 21 ni aibu mnatia Africa yetu tamu! 🤣 🤣 🤣Kufa njaa karne ya 21 na kupigwa mnada kama chupi ya mtumba Libya ni something phenomenon!
Less than 1 million diaspora to surpass 59+ million dummies is ponder!
umezika wangapi?wenzio wanakufa Turkana!
TZs are very dangerous pple. They realy good at shouting, showing-off, and full of pride. just if. just if Tz had our size of Gdp of $106B and us $60B, and had the largest and busiest Airtport, and busiest Port, AirTanzania among the leading airlines like KQ, had the largest no. of tourist arrival in the eastern africa region, had our kind of roads, and Dar the commercial and financial hub in the region, with many international headquarters and organizations, had the 3rd largest stock exchange in africa like the NSE, had a 2nd city like mombasa, hosted WRC and IAAF championships, dorminate in the Olympics, i just don't knw 🙆🙆. sijui wakenya tungejificha wapi, sijui tungefanya nini kwa hii thread. maana hatunge pata ku breath, pengine hawangekua na time na sisi. ata hii thread pengine ingekua Dar vs Joburg na sio Dar vs nairobiunajua maana ya $60B wewe? sio vipicha..,ni economic output idiot.., propaganda weka pembeni.., Tz ni Dar na Dar ni Tz, na bado hiyo Dar is poverty 80%., hauwezi kudanganya World Bank, IMF, na akina AFDB na angles za vipicha, hiyo ni ya kupumbaza vilaza kama wewe 😂 😂 ., tunajua mlivyo, hekaya za abunuasi bakisha vijiweni 😂 😂
Wewe si mtoto wa mzito huwezi jua vile wakenya wenzio wanakufa njaa..umezika wangapi?