Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naam, sasa hapa ni cbd pamoja na Kariakoo. Ni mbali kidogo na yale maeneo niliyokuwa nakuelewesha mwanzo, pia Inategemeana tu na mpiga picha na quality ya camera yake, naweza pia kukuletea hapa picha za nairobi zilizopauka na ukashangaa vile mji wenu ni wa kawaida na mchafu sana, maana nairobi ni kinara wa uchafu ukanda huu wote sababu nyie wakenya ni wachafu kwa asili yenu
By the way, CBD ya Dar ina majengo mengi sana na mazuri na ya kisasa yanayomilikiwa na watanzania wenyewe,
Naweza kukupa picha nzuri zaidi ya hizo kwa dar
Na pia kuhusu BRT, kumbuka Tuna km 30 za brt na sasa tunajenga nyingine 20 na mwakani tunaanza ujenzi wa phase nyingine
Kumbuka pia tutakuwa na reli ya kisasa zaidi ukanda huu inaanzia hapa dar hadi mwanza na Kigali rwanda, awamu mbili za mwanzo zinakamilika hivi karibuni na kwa awamu ya kwanza tumetumia bilioni 2$ kwa pesa zetu tukawalipa waturuki watujengee, ina uwezo wa kusafiri kwa spidi ya km 160/h maana yake ni kuwa mwakani december nitakuwa na uwezo wa kudandia mwendokasi hadi stesheni na kudandia train ya kisasa express massa matatu nipo mji wa kisasa Dodoma,View attachment 1945902
View attachment 1945882
View attachment 1945883
View attachment 1945884
View attachment 1945885
View attachment 1945886
View attachment 1945887
View attachment 1945888
View attachment 1945889
View attachment 1945890
View attachment 1945903
View attachment 1945904
View attachment 1945905
View attachment 1945906
View attachment 1945907
View attachment 1945908
View attachment 1945909
Naijua Dar mimi sihitaji propaganda zako., wewe jitekenye ukicheka.., pia mimi naweza kukuwekea picha zinazo onyesha matako ya Cairo Egypt ukashangaa utadhani Cairo iko nyuma sana lakini sivyo.., I understand perceptions na kucheza na vipicha.., video clips ni bora zaidi, kwanza drone views., hakuna kiswahili ni macho kutazama hali kamili ya maeneo..,
Kama hii hapa ya Mombasa., nje ya Dar haupati mji kama huu..,
 
Okay ukitaka tuongelee kwa angle hiyo then fine, mimi somehow nimesafiri
Ulaya na nchi kadhaa za Africa.
Bado tuna safari ndefu but we are determined. Kenya hapo hamna kitu ambacho hakipo Tz. Yes Kenya na Tz zote ni nchi za ulimwengu wa tatu. Hakuna tofauti kati ya Kenya, Tz na UG
Now you are talking., sio misifa ya kujikweza ovyo ovyo..,
 
Propaganda sipendi, vyanzo vya kutega uchumi havitoshi to meet recurrent expenditure kwa bajeti la taifa unaniambia nini wewe? mimi sio kilaza wa kudanganywa rahisi.., sasa ona vile serikali inajiaibisha eti iko na uwezo wa kujitegemea, propaganda za CCM baki nazo wewe..,
mifukara...,

Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals​

SUNDAY SEPTEMBER 19 2021​

Debt pic

Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the heart of Dar es Salaam. A July central bank report shows that Tanzania’s debt stock rose by $3.9 billion in one year. PHOTO | FILE

Summary

  • The debt stock represented an increase of $436.8 million from the preceding month and $2.76 billion from July 2020.
ADVERTISEMENT

By Ashura Ngwai
More by this Author

Dar es Salaam. The national debt increased by $3.9 billion in one year as the government is implementing infrastructure projects and improve provision of social services.

According to the Bank of Tanzania’s (BoT) monthly economic review, the debt stood at $33. 7 bill at the end of July this year, having increased by $3.9 billion from July 2020.

External debt, comprising the public and private sector, amounted to $25.96 billion at the end of July 2021 and accounted for 77 percent of the national debt.

The debt stock represented an increase of $436.8 million from the preceding month and $2.76 billion from July 2020.

“The profile of external debt by borrower category remained broadly unchanged, with debt owed by the central government accounting for 77.7 percent,” BoT stated.

According to the central bank of Tanzania, transport and telecommunication activities accounted for more than a quarter of outstanding external debt, associated with ongoing mega infrastructure projects, followed by social welfare and education, as well as energy and mining.

ADVERTISEMENT

On the other hand, the government domestic debt amounted to Sh17.8 trillion at the end of July 2021, a decrease of Sh1.12 trillion from June 2021 and an increase of Sh2.7 trillion from the corresponding period in 2020.

Longer-term instruments, which are Treasury bonds and stocks, sustained dominance in the composition of domestic debt, accounting for 84.7 percent of the stock.

External debt service payments amounted to $25.2 million, of which $21 million was principal, the central bank said.

Déni ni kawaida,
Hata sasa mimi nadaiwa na bank, watu binafsi na ofisi yangu, sembuse serikali? But I wonder the way unatukiarukia vitu kibao, sasa Upo kwenye madeni
Sawa, but hii haipndoi fact that The Gov of Tz is funding multi billion usd worthy projects on its own,
Gov ya Kenya can’t find a 10kms road without loans. You are now borrowing to individuals tu pay the external debts. Sad
 
Tatu City is kind of Orania city of South Africa for whites only, after squeezing each angle of productivity on their full ownership now they make their own little world at the midst of well milked cows,

ndio maana mnakufa kwa njaa while whites own every peace of fertile for their cash crops, Tatu City is 1000% owned by whites and you hunger stricken nut they won't be comfortable to welcome you there for some crucial private criteria!
Hauwelewi chochote, nawajua, kama hamna kitu lazima utafute vijisababu vya kuponda, yaani mnapenda kulazimisha mambo ambayo hayapo ama kama iko ni kidogo na kuyafanya yaonekane yapo ama ni kubwa zaidi.., inaitwa wivu kaka., na chuki pia kutokana yale mlio lishwa na viongozi wenu clueless, blaming Kenya on your poverty and backwardness..,
 
Déni ni kawaida,
Hata sasa mimi nadaiwa na bank, watu binafsi na ofisi yangu, sembuse serikali? But I wonder the way unatukiarukia vitu kibao, sasa Upo kwenye madeni
Sawa, but hii haipndoi fact that The Gov of Tz is funding multi billion usd worthy projects on its own,
Gov ya Kenya can’t find a 10kms road without loans. You are now borrowing to individuals tu pay the external debts. Sad
Nope., ni propaganda, only clueless citizens like you and blind patriots will believe such shenanigans from your govt., hoji mambo kiundani kaka.., anza kwanza na kuangalia pato la taifa ukilinganisha na mahitaji., utapata jibu.., na pia kwa nini kuna kipindi world bank walitaka hayati Magufuli achapishe report ya loans za taifa wazi wazi.., mukulu naye akafungia independent research bodies from releasing economic data, serikali ilijua itaumbuliwa vibaya sana, kwa vile walikua wamewalisha ile pambio ya "kwa pesa za ndani".., ndio unaona uchumi wenu haukui.., uchumi unaokua itaonekana haswa kwa revenue collections growth year in year out.., mengine u can debate.
 
Unajua CBD ya Nairobi? Business District za Nairobi hazifanani hivi, wacha kujiliwaza tafadhali..,
View attachment 1945815

Tazama Parklands pekee.., tukiacha mbali Westy, Kilimani, UpperHill na old CBD..,
View attachment 1945818
Kilimani
First thing thing Heights ya Picha inakufanya uone CBD yenu ionekane na majengo mengi, ila mengi yanalingana na majengo ya pembeni ya hiyo sehemu Dar
 
Hauwelewi chochote, nawajua, kama hamna kitu lazima utafute vijisababu vya kuponda, yaani mnapenda kulazimisha mambo ambayo hayapo ama kama iko ni kidogo na kuyafanya yaonekane yapo ama ni kubwa zaidi.., inaitwa wivu kaka., na chuki pia kutokana yale mlio lishwa na viongozi wenu clueless, blaming Kenya on your poverty and backwardness..,
Ngonjera yote hiyo inahusika vipi na tako City kumilikiwa na Mzungu kwa 10k% na ninyi kufa njaa?

Tako City ni mali ya beberu kama ilivyo mashamba yote iyenye rutuba Kunyaland, usinililie
 
Unajua CBD ya Nairobi? Business District za Nairobi hazifanani hivi, wacha kujiliwaza tafadhali..,
View attachment 1945815

Tazama Parklands pekee.., tukiacha mbali Westy, Kilimani, UpperHill na old CBD..,
View attachment 1945818
Kilimani
Kenya kwenye aina/mitindo ya ujenzi mko nyuma sana...

Kenya kupaka Rangi, kuweka vioo majengo ni anasa kubwa sana unakuta Jengo katikati ya mji lina matofali tu...

Watanzania wengi wakiaamua kujenga magorofa kama ya Kenya nchi itajaa magorofa aisee
 
Naijua Dar mimi sihitaji propaganda zako., wewe jitekenye ukicheka.., pia mimi naweza kukuwekea picha zinazo onyesha matako ya Cairo Egypt ukashangaa utadhani Cairo iko nyuma sana lakini sivyo.., I understand perceptions na kucheza na vipicha.., video clips ni bora zaidi, kwanza drone views., hakuna kiswahili ni macho kutazama hali kamili ya maeneo..,
Kama hii hapa ya Mombasa., nje ya Dar haupati mji kama huu..,

Kwa mujibu wa Takwimu Tanzania ndio ina wakazi wengi zaidi mijini kuliko nchi zote za ukanda huu, (most urbanized Nation )
Tuna miji mingi sana mizuri hapa Tz yenye hadhi ya kuanzia manispaa na yenye wakazi wanaozidi 250k
Mfano

Arusha, 600k
Mwanza, 800k
Dodoma 450
Zanzibar stone town 500k
Moshi 300k
Tanga 400k
Iringa 300k
Morogoro 350k
Mbeya 700k
Zanzibar stone town 500k
Tabora
Mtwara
Bukoba
Songea
Lindi
Musoma
Kahama
Shinyanga
Singida
Swanga
Kigoma

You can see them in YouTube fyi.
 
Ngonjera yote hiyo inahusika vipi na tako City kumilikiwa na Mzungu kwa 10k% na ninyi kufa njaa?

Tako City ni mali ya beberu kama ilivyo mashamba yote iyenye rutuba Kunyaland, usinililie
unateseka sana, yaani huwa mnatamani fikra zenu ziwe ni ukweli lakini wapi 😂 😂, mnapata taabu sana, najua mnaipenda Tanzania, lakini iko ilivyo, bado iko nyuma sana, jikazeni kaka 😂 😂 😂 Sasa ukitazama map ya kenya sehemu ipi iko na rotuba and is very productive? Ni Western part of Kenya.., najua hujui who lives there.., wewe unaamini yale umekaririshwa..,wazungu wanafanya farming sehemu kavu,wana irrigate kwa vile wako na uwezo huo., kama Lord Delemere farm in Naivasha., pale ni desert., Tanzania mlikosea wapi lakini?
 
Kwa mujibu wa Takwimu Tanzania ndio ina wakazi wengi zaidi mijini kuliko nchi zote za ukanda huu, (most urbanized Nation )
Tuna miji mingi sana mizuri hapa Tz yenye hadhi ya kuanzia manispaa na yenye wakazi wanaozidi 250k
Mfano

Arusha, 600k
Mwanza, 800k
Dodoma 450
Zanzibar stone town 500k
Moshi 300k
Tanga 400k
Iringa 300k
Morogoro 350k
Mbeya 700k
Zanzibar stone town 800k
Tabora
Mtwara
Bukoba
Songea
Lindi
Musoma
Kahama
Shinyanga
Singida
Swanga
Kigoma

You can see them in YouTube fyi.
na hao wakazi wanaishi maisha ya uchochole, wanajaza makao low quality miji yenu..,
 
Nope., ni propaganda, only clueless citizens like you and blind patriots will believe such shenanigans from your govt., hoji mambo kiundani kaka.., anza kwanza na kuangalia pato la taifa ukilinganisha na mahitaji., utapata jibu.., na pia kwa nini kuna kipindi world bank walitaka hayati Magufuli achapishe report ya loans za taifa wazi wazi.., mukulu naye akafungia independent research bodies from releasing economic data, serikali ilijua itaumbukliwa vibaya sana, kwa vile walikua wamewaisha ile pambio ya "kwa pesa za ndani".., ndio unaona uchumi wenu haukui.., uchumi unaokua itaonekana haswa kwa revenue collections growth year in year out.., mengine u can debate.

You are made to believe whatever comes from the Jubiloot government,
Ndio maana mnaamini tuna gdp ya $60b na hamjiulizi tunamudu vipi hiyo miradi yote na hatuna outstanding debts toka kwa creditors,
Undertaking such projects hata kwa loan isn’t any equivalent for 60bn gdp.
Yuko mkunya humu anajiita teargas yeye huwa naona anakomaa anasema Tz tuna 30% electricity access, wakati watu tunakaribia kufikia 100% . Na hizo data ndio wb wanazo, sisi wenye nchi yetu tunajua tumebakisha vijiji 2000 kati ya vijiji 12000.
Tumia akili mkunya.
 
Kwa mujibu wa Takwimu Tanzania ndio ina wakazi wengi zaidi mijini kuliko nchi zote za ukanda huu, (most urbanized Nation )
Tuna miji mingi sana mizuri hapa Tz yenye hadhi ya kuanzia manispaa na yenye wakazi wanaozidi 250k
Mfano

Arusha, 600k
Mwanza, 800k
Dodoma 450
Zanzibar stone town 500k
Moshi 300k
Tanga 400k
Iringa 300k
Morogoro 350k
Mbeya 700k
Zanzibar stone town 800k
Tabora
Mtwara
Bukoba
Songea
Lindi
Musoma
Kahama
Shinyanga
Singida
Swanga
Kigoma

You can see them in YouTube fyi.
Kujaza miji sio maendeleo nani.., angalia Dar, Kinshasa na Lagos vile zinafanana na hizo population kubwa kubwa? kwanza Mwanza pia! 😂 😂 😂 ..,
 
na hao wakazi wanaishi maisha ya uchochole, wanajaza makao low quality miji yenu..,

Kivipi Mkuu? Wakazi gani hao ?
If at least they have good shelter, access to clean water, reliable food, healthcare services, electricity, free education and reliable transport infrastructure kwanini useme wana Maisha magumu? au kwako tafsiri ya Maisha magumu ni ipi? Nadhani unaelewa hatuna hata mji mmoja wenye slums kama ilivyo huko Nairobi, kisumu, mombasa nk.
And just to remind you, despite big population, Tz have the least rate of unemployment and smaller population of people living below poverty line than Kenya. Hope you know the facts.
 
You are made to believe whatever comes from the Jubiloot government,
Ndio maana mnaamini tuna gdp ya $60b na hamjiulizi tunamudu vipi hiyo miradi yote na hatuna outstanding debts toka kwa creditors,
Undertaking such projects hata kwa loan isn’t any equivalent for 60bn gdp.
Yuko mkunya humu anajiita teargas yeye huwa naona anakomaa anasema Tz tuna 30% electricity access, wakati watu tunakaribia kufikia 100% . Na hizo data ndio wb wanazo, sisi wenye nchi yetu tunajua tumebakisha vijiji 2000 kati ya vijiji 12000.
Tumia akili mkunya.
Nani kasema mna GDP ya $60B., world bank wanawaweka at $65B., maumivu mlio nayo ni ati Kenya iko juu yenyu, tena kwa mbali mnadhani tumepika kwa ajili ya mapungufu na changa moto zetu, hakuna lingine ila ni wivu na chuki inawasumbua, itabidi mzoee ukweli., na ujue wakenya hawaamini serikali kama vile watanzania wanaamini CCM.., ndio maana tunakosoa sana serikalin yetu na media zetu zina anika mazuri na mabaya wazi wazi,., nyie mnabebwa ujinga na mnakubali, ata kitu kenye ukifuatilia vizuri utaona ni porojo mnashangilia tu..,
 
with your small annual revenue collections, uchumi wa 100 t0 150 cannot have such small cash u ignorant, ama haujui mkusanyiko wenu wa mwaka? nchi bado ni fukara wacheni kujitia hamnazo, tembelea data za serikali yenu , port income ni ndogo, airports revenue small, retail and banking bado ni hafifu, telecommunications way below Kenya etc.., vitu vingi bado mko chini sana, uchumi hauwezi kukidhi mahitaji ya kila siku unaropokwa tu kihisia sio kielimu, ni kiushabiki tu, blind patriotism ni mbaya, jaribu kufanya utafiti kabla ya kukurupuka, hamna jipya Tz., iko wazi uchumi wenu unaeza kuwa even $55B., mapato ya nchi ni dhihirisho na kuna mengi.,
Annual income ni ndogo kwasababu ya pilferage na weak systems lakini econony iko underated sana. Mtaalamu mmoja wa Brazil alifanya utafiti wa TZ economy wakati wa mkapa na kukuta our economy was 3 times than what was reported then.
 
Back
Top Bottom