The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,812
- 82,278
Hana lolote mihemko tu na drama, ukishakuwa mshenzi huwezi kuwa muungwana labda wa kuchora.Wababaishaji sana hao jamaa ndo zao ukitoa taarifa wana respond baada ya wiki mbili na zaidi Acha tumuone huyu mwamba kama atabadlisha kitu au ndio hadithi za abunuwasi