Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Am speechless kweli Tanzania kubwa

Hii kambi ya wakimbizi Nyarugusu Tanzania wanaishi maisha mazuri kuliko 80% of Kenyans

Wanajivunia sana kuwa Tanzania, nimeangalia kambi ya kakuma na kulinganisha na Nyarugusu ni chooni na mbinguni

Kiswahili wanachoongea hata wakunya wa Mombasa hawawezi pia nimeona wanapenda zaidi kuitwa watanzania kuliko hizo nchi wanazotoka

Actually nchi zao zote kwa sasa zina amani lakini wanaishi Tanzania kambini sababu maisha ya Tanzania kambini ni mazuri kuliko maisha ya uraiani nchi zao

Mkuu mm ningekuwa mkunya ningeku mind sana mana huwa una maneno fulani yanayokera na kuuma
 
Like i said your fool...first those which you call data mean nothing if they can't ressemble the reality, we are talking about to connect all of our villages with electricity, yet you fool show up with nonsense list , if that international agent fail even to estimate the actual number then they are fool as your
You are the only foolish person here, you are connecting the villages but not houses. When it comes to houses connected to electricity then Tanzanian connectivity rate stands at 37%. And that's why even your government said that only 2.7M customers are connected to electricity in Tanzania.
 
No one knows better our nation than us
I trust your government more than you. This report was compiled by both REA and TANNESCO.

2887556_12572740_screenshot247_png917600ab8427a3787c148b21cf9263da.png
 
Mkuu mm ningekuwa mkunya ningeku mind sana mana huwa una maneno fulani yanayokera na kuuma
😅😅😅😅😅 Mkuu sio wanawake wa Kibera na mathare hawawezi kuwa na haya maisha na Muonekano wa wakimbizi wa Tanzania bali hata wa posh estates za Kunyaland hawawezi fika hizi levels za refugees wanaoishi Tanzania 😅😅😅

Watanzania wana comment kwa uchungu na hasira 😂 😂 😂 😂 😂 , wamebanwa kote kote so ni kulia lia tu humu 😂 😂 😂 Tanzania finywa kabisa hadi kiama, 😂 😂 😂 jibu hamna, facts zero.., vioja tupu 😂 😂 😂
1631952174379.jpeg
 
Am speechless kweli Tanzania kubwa

Hii kambi ya wakimbizi Nyarugusu Tanzania wanaishi maisha mazuri kuliko 80% of Kenyans

Wanajivunia sana kuwa Tanzania, nimeangalia kambi ya kakuma na kulinganisha na Nyarugusu ni chooni na mbinguni

Kiswahili wanachoongea hata wakunya wa Mombasa hawawezi pia nimeona wanapenda zaidi kuitwa watanzania kuliko hizo nchi wanazotoka

Actually nchi zao zote kwa sasa zina amani lakini wanaishi Tanzania kambini sababu maisha ya Tanzania kambini ni mazuri kuliko maisha ya uraiani nchi zao

Utopolo wa kujiliwaza.... 😂 😂 😂 😂
 
naipenda sana NAIROBI yangu,sisi wakenya tumeendelea sana kuliko nchi yeyote duniani,tunaishi maisha bora tuna pesa mingi venye tulivyo washap na hatutumii gari used zilizotumika miaka nane iliyopita pia kupakia magodoro,madumu juu ya bus zetu new model 2021 ni kawaida ni culture yetu yakisasa zaidi

in reality differ
download.jpg
images%20(9).jpg
images%20(10).jpg
images%20(11).jpg
images%20(12).jpg
images%20(13).jpg
images%20(14).jpg
J10%20RESIZE.jpg
images%20(15).jpg
 
naipenda sana NAIROBI yangu,sisi wakenya tumeendelea sana kuliko nchi yeyote duniani,tunaishi maisha bora tuna pesa mingi venye tulivyo washap na hatutumii gari used zilizotumika miaka nane iliyopita pia kupakia magodoro,madumu juu ya bus zetu new model 2021 ni kawaida ni culture yetu yakisasa zaidi

in reality differView attachment 1943290View attachment 1943291View attachment 1943292View attachment 1943293View attachment 1943295View attachment 1943296View attachment 1943297View attachment 1943299View attachment 1943300
Utafkiri kabul 😅😅😅😅
 
Kakuma on fleek 😅😅😅

View attachment 1943276
NYARUGUSU REFUGEE CAMP ON FLEEK!!! 😬😬😬(Western province of Kigoma, Tanzania)
Screenshot_20210918_115000.jpg

Screenshot_20210918_114935.jpg

Screenshot_20210918_114922.jpg

Screenshot_20210918_114906.jpg

Screenshot_20210918_114850.jpg

My take - Tanzania = North Korea(wanatesa, wanateka na kuwalazimisha watoke Bongo, hao wakimbizi??? 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Alafu fala ya mtu anasema wakimbizi wanajivunia kuwa nchini Tz na hawataki kurudi kwao, ila chini ya maji... Kwa ground vitu ni different! 🤣 🤣 🤣 🤣
Pathetic nation, savages, inhuman, kudadadeki! Njooni mnipige sasa! 🤣
 
naipenda sana NAIROBI yangu,sisi wakenya tumeendelea sana kuliko nchi yeyote duniani,tunaishi maisha bora tuna pesa mingi venye tulivyo washap na hatutumii gari used zilizotumika miaka nane iliyopita pia kupakia magodoro,madumu juu ya bus zetu new model 2021 ni kawaida ni culture yetu yakisasa zaidi

in reality differView attachment 1943290View attachment 1943291View attachment 1943292View attachment 1943293View attachment 1943295View attachment 1943296View attachment 1943297View attachment 1943299View attachment 1943300
Kwani hapo ni Kandahar, Afghanistan?
 
Back
Top Bottom