Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Super Power tunayo yawaza
Hapo ni:

Tanzania
Nigeria
Ethiopia
South Africa
images%20(5).jpg
FB_IMG_1631911443430.jpg
images%20(3).jpg
images%20(1).jpg
 
We have abandoned sitting on the grass and being rained on while watching ball games like Tanzania. GOK is planning to build small stadiums like these in all the 47 counties, already more than 20 counties have build the stadiums.


This is Kirigiti stadium in kiambu county.

View attachment 1942744

View attachment 1942745

View attachment 1942746

View attachment 1942747

View attachment 1942748

View attachment 1942749
Where are those 5 stadia of international standards promised by UHURUTO first?
 
KENYA MAKES NUCLEAR INFRASTRUCTURE PROGRESS.
The International Atomic Energy Agency has provided an update on Kenya's progress since its 2015 Integrated Nuclear Infrastructure Review (INIR) mission. INIR missions enable IAEA member states to have in-depth discussions with international experts about the conditions and best international practices in the development of a nuclear power programme.
View attachment 1942700
Kenya - which has Africa's seventh-largest economy and a population of 52 million people - is considering the introduction of nuclear power to help meet its growing energy demand.
The 2015 INIR mission to Kenya made 15 recommendations and eight suggestions. Areas for further action included establishing the key goals and requirements to guide the nuclear power programme, and setting up the necessary legal and regulatory framework.
A follow-up INIR mission on 8-11 June assessed Kenya's progress and had a hybrid format, with two IAEA experts travelling to Kenya and two international experts from Ireland and Spain participating virtually.
The follow-up INIR team said that Kenya had completed 10 of the recommendations and four of the suggestions from the 2015 review. Progress included: development of the National Nuclear Policy and the National Policy and Strategy for Safety to enable the government to make an informed decision on whether to introduce nuclear power; enactment of a national nuclear law and establishment of a regulatory body with clear responsibilities for safety, security and safeguards; completion of an assessment of the national legal framework and identification of other laws needing review; and enhanced coordination among key stakeholders in the development of a nuclear power programme.
"Kenya made considerable efforts to address all the recommendations and suggestions made by the INIR team in 2015," said team leader Eric Mathet, operational lead of the IAEA's Nuclear Infrastructure Development Section. "The preparatory work needed to inform the government's decision has progressed."
"The follow-up INIR Mission has given a big impetus to the nuclear power programme for the country and therefore sets in place a new phase in the Milestone Approach," said Collins Juma, CEO and National Liaison Officer of the Kenya Nuclear Power and Energy Agency (NuPEA). "The next steps call for greater efforts by all stakeholders in ensuring that Kenya becomes a knowledgeable customer and is ready to invite bids for the first nuclear power plant."
The Kenyan Ministry of Energy proposed the potential use of nuclear energy for power generation and in 2019 the Kenya Nuclear Electricity Board transitioned to the NuPEA to undertake preparations for the development of a nuclear power programme.

(Researched and written by World Nuclear News)
A country which it's people starve to death yearly due to poverty and shortage of food is talking about Nuclear program
 
Ndio maana nasema wewe ni mjinga,sijui hata kama unajua uchumi na kama unajua,hivi inflation ipi ni rafiki kwenye uchumi Kati ya 5% na amvayo ni Below 10% but above 5%..

Ukileta jibu utaelewa kwa nini miaka 5 iliyopita uchumi ulianguka na standard of living kuwa worse..
Hii, hili limetokea chaka la wapi. Hivi unajielewa wewe? Nshagundua hapa namkimbiza chizi alieninyang'anya taulo
 
Wacha upenzi wa kipuuzi, kwani Yanga kutangaza nchi yake ni kosa? So Simba ndio yenye haki ya kutangaza hii nchi? Kiburi kimewajaa mpk mnasaau kwamba Yanga ni mkubwa kuliko Simba.
Shida sio Yanga kutangaza bali ni mkataba wa ajabu yaani mkataba utakuwa wa mechi moja tuu halafu kwisha habari yake hii ni perfect example ya uhujumu uchumi.
 


Makamba kaja na moto I hope ata maintain, kuna kitu jpm alipandikiza kwenye mioyo ya viongozi wetu, (uzalendo, uwajibikaji na uchapaji kazi ) as long huyu mwamba akiendelea hvi tofauti zetu za zamani tunaziweka kando
Hawa TANESCO wana thread yao humu Jamii Forums cha kushangaza ukiwaambia ukweli wahusika wanaomba namba yako baadaye wanaanza kukupigia na kuanza kusema kwamba hakuna tatizo hilo na kulazimisha kupajua kwako pamoja na vitisho vya hapa na pale.
 
Magufuli alitoa vitambulisho unalipa elfu 20 usumbuliwe mwaka mzima sasa wenye maduka ili kukwepa kodi wakafunga maduka na kuuza nje kisha wanachukua kitambulisho cha machinga,ndiyo maana wamachinga wengi wanamizigo ya vidhan za maana
Halafu akaacha wafanye biashara kila mahali sio? dawa ni kila mtu kulipa kodi stahiki!
 
Back
Top Bottom