Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,512
- 5,845
Yaani ushindani uliopo bongo ni mkubwa Sana karibia katika kila sector tofauti na wenzetu hawana standards unajua nilishangaa Sana kuona wananchi wa Kenya Wana chukuliwa poa Sana kwenye mambo mengi na wako comfortable.nyangau hawaelewi, kwa TANZANIA, tofauti ya mwaka kuna mabadiliko makubwa sana