Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo muhimu sana kuhusu sala ya Baba yetu uliye mbinguni

Mathew 6:9 – 13 (ipo pia Luke 11:2 – 4)

Baba yetu uliye mbinguni (Adonai YAHWEH, El wa Abraham, Isaac na Israel),

Jina lako litukuzwe (Hallowed be your name, name/jina ina involve mamlaka yake, ambayo yana involve watu kutii amri zake 10 pamoja na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo, kwahiyo hallowed be your name ina maanisha pia hallowed be your 10 commandments, ina maanisha pia hallowed be your seventh day Sabbath, wale 144,000, wa Ufunuo 14, wenye Jina la Baba kwenye vipaji vya nyuso zao ina maana wanazishika amri 10 za Mungu pamoja na Sabato ya siku ya saba, na pia wana ushuhuda wa Yesu Kristo. Unaweza pia ukacheki Isaya 56:6 “Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;”. Kulitukuza jina la BWANA kuna jumuisha pia kulipenda jina la BWANA),

Ufalme wako uje (Mathayo 19:17 Yesu alimwambia “ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri”……. “kisha njoo unifuate” yaani ashike amri 10 za Mungu na awe na ushuhuda wa Yesu Kristo. “Kuingia katika uzima” ni namna nyingine ya kusema “kuingia katika Ufalme wa Mungu”. Ufalme wake ukija, watakao ingia katika Ufalme wake ni wale watu wanaotii amri 10 za Mungu na pia wana ushuhuda wa Yesu Kristo),

Mapenzi yako yatimizwe (Your will be done, will yake ina involve watu kumtii na kuzishika amri 10 za Mungu, pamoja na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo. Amri 10 za Mungu zina jumuisha pia Sabato ya siku ya saba, inayoanza jua likizama Ijumaa na kuisha jua likizama Jumamosi),
hapa duniani kama huko mbinguni.

Utupe leo riziki yetu (Utupe leo mkate wetu wa kila siku, Give us this day our daily bread, Luke 11:3 inasema “give us day by day our daily bread”. Wana wa Israel walivyokuwa jangwani walikula manna iliyoanguka siku 6, siku ya sita ilianguka manna ya siku mbili, ambayo waliitumia siku ya 6 na nyingine wali ihifadhi na kuitumia siku ya 7 (Sabato). Siku ya 7 (Sabato) manna haikuanguka. Hapa tunaona kwamba Mungu ndiye anaetupa chakula chetu/riziki yetu ya kila siku, na anataka tuitumie siku ya 7 kupumzika na kumuabudu, na kwamba atatulisha pia siku hiyo ya saba hata kama hatufanyi kazi kwenye siku hiyo, na hatutapungukiwa na kitu).

Utusamehe deni zetu,
kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu.

Na usitutie majaribuni,

lakini utuokoe na yule mwovu.

Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.

So sala ya Baba yetu uliye mbinguni ina mahusiano na kutii amri 10 za Mungu na pia kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo.

Revelation 15:4 (KJV) Who shall not fear thee, O Lord, and glorify thy name? for thou only art holy: for all nations shall come and worship before thee; for thy judgments are made manifest. [“Glorify thy name” maana yake ni kulitukuza jina lako. “Judgements" zina mahusiano na amri 10 za Mungu.]

Isaiah 66:22-23 (KJV): 22 For as the new heavens and the new earth, which I will make, shall remain before me, saith the LORD, so shall your seed and your name remain.
23 And it shall come to pass, that from one new moon to another, and from one sabbath to another, shall all flesh come to worship before me, saith the LORD.

Isaiah 56:1 – 7 (KJV) 1 Thus saith the LORD, Keep ye judgment, and do justice: for my salvation is near to come, and my righteousness to be revealed. [“Judgement" ina mahusiano na amri 10 za Mungu.]

2 Blessed is the man that doeth this, and the son of man that layeth hold on it; that keepeth the sabbath from polluting it, and keepeth his hand from doing any evil.

3 Neither let the son of the stranger, that hath joined himself to the LORD, speak, saying, The LORD hath utterly separated me from his people: neither let the eunuch say, Behold, I am a dry tree.

4 For thus saith the LORD unto the eunuchs that keep my sabbaths, and choose the things that please me, and take hold of my covenant;

5 Even unto them will I give in mine house and within my walls a place and a name better than of sons and of daughters: I will give them an everlasting name, that shall not be cut off. [“Give them an everlasting name” ina maanisha atawapa uzima wa milele, atawaingiza kwenye ufalme wa Mungu. Matthew 25:34 (KJV) Then shall the King say unto them on his right hand, Come, ye blessed of my Father, inherit the kingdom prepared for you from the foundation of the world:]

6 Also the sons of the stranger, that join themselves to the Lord, to serve him, and to love the name of the LORD, to be his servants, every one that keepeth the sabbath from polluting it, and taketh hold of my covenant;

7 Even them will I bring to my holy mountain, and make them joyful in my house of prayer: their burnt offerings and their sacrifices shall be accepted upon mine altar; for mine house shall be called an house of prayer for all people.
 
hii tangazo wanamaanisha simba wanasaini deal na Air Tanzania
kuna mawili
1. Simba kutumia ndege za Air Tanzania kwenye safar zao au/na
2. Simba kuvaa jersey zilizoandikwa Air Tanzania

naona moja kuwa more realistic zaidi! Air Tanzania haina ubavu wa ku-sponsor Simba! Ni pale PW itakaposaini na Yanga maana rangi za PW zinaendana na Yanga!

 
IMG_1651.jpg

 
hii tangazo wanamaanisha simba wanasaini deal na Air Tanzania
kuna mawili
1. Simba kutumia ndege za Air Tanzania kwenye safar zao au/na
2. Simba kuvaa jersey zilizoandikwa Air Tanzania
Nionavyo mimi ni Simba kupewa hela na Atcl watangaze brand yao ama atcl kuwapa Simba discount kubwa kwenye ndege zao as payment in kind.
 
nimesikiliza kidogo..
kilichosainiwa ni hio ya kwanza.. ATCL kuwa official airline ya Simba.. simba nao wataanzisha Simba kibubu kusaidia wanasimba kuweka hela kidogo kidogo ili kupanda ndege simba inaposafiri maeneo mbalimbali kwenye match.. ni mkataba wa miaka miwil
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom