Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi Kenya wana terminals za kuchimba dawa kweli au ndio kama kawa wazee wa kukunya kwa mfuko
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji117.png
emoji240.png
emoji240.png
emoji240.png

Hivi wakenya amuoni huo ujenzi ni kucgafua tu mji wenu ?
🤣🤣🤣Na si utaumia kijana

Expressway 6.png


FB_IMG_1629771608125.jpg


FB_IMG_1629771618770.jpg


20210901_221626-01.jpg


Screenshot_20210829-063206~2.png


E4yx4hmWYAEtrGH.jpg
 
Wana miradi zaidi ya minne ninayoijua, wanajenga mradi wa barabara Tanzania, Burundi (Kigoma) zaidi ya kilometres 200, wanajenga mradi wa billion 500 wa maji Arusha, wamejenga majengo kadhaa japo ni wababaishaji tu!
Du watakuwa ni mafisadi walio tukuka uwezo wao mdogo na wanazidi kupewa miradi mingi
 
Kenya kama ina laana picha zao za miji hata nsirobi zinakuwa zimechakaa na kupauka sijui kwanini tofauti na picha za dar yani ukicheki nairobi kwenye video utacheka mji umepalala umekuwa giza na vumbi tupu
wacha ushamba the diffrence between the two ni moja iko na filters nkt! me huchukia ushamba sana
 
Hatukushangai na chuki unazoongea ukiwa ni mtu wa ile kanda ukiwa mwanamke mzee, macho mekundu na mjane unazushiwa mchawi na kuuwawa! Nadhani mlijua mtatawala milele kumbe mipango ya Mungu ni mingine!
Subiri kidogo ,,,wewe tulia tuli,, vutapumzi taratibuuuu utaona very soon
 
Hatukushangai na chuki unazoongea ukiwa ni mtu wa ile kanda ukiwa mwanamke mzee, macho mekundu na mjane unazushiwa mchawi na kuuwawa! Nadhani mlijua mtatawala milele kumbe mipango ya Mungu ni mingine!

Suala sio ile kanda mzee. Suala ni kuwa Mama uwezo Mdogo, and deep inside you you know it. Amalizie awamu ya mwendazake asepe. Hata kwa kitaa mama haungwi mkono. I like her though but not for that big role.
 
Ndio ujue magufuli alikuwa raisi makini siyo mpumbaavu wa msoga ,maana hayo yanayo ipata kenya yalikuwa yatokee na tz
acha kuchanganya madesa mbuzi wewe! hiyo ni response ya GoK kukopa mabenki ya ndani kulipa mkopo wa Mchina wa SGR!
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom