Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,499
- 17,572
Nashangaa eti mtu anasema ghana inazidi tz ujinga mtupuHii nchi ni tajiri sana kama utalinganisha na vinchi vya East and Central Africa.
Nashangaa eti mtu anasema ghana inazidi tz ujinga mtupuHii nchi ni tajiri sana kama utalinganisha na vinchi vya East and Central Africa.
Hivi Kenya wana terminals za kuchimba dawa kweli au ndio kama kawa wazee wa kukunya kwa mfuko
🤣🤣🤣Na si utaumia kijanaHivi wakenya amuoni huo ujenzi ni kucgafua tu mji wenu ?
Waghana wana wendawazimu kama wa Wakunya wamejenga terminal hapo Kotoka Airport Accra basi unaskia vitu kama the best in Africa! Wakati sioni tofauti kubwa na terminal 3 ya AAKIA Zanzibar!Nashangaa eti mtu anasema ghana inazidi tz ujinga mtupu
nyangau walivyo na wivu watazimia humu ndani, hahahahhaItakua vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣
wacha maneno ya kihuni, leta picha hapa tuone, bus terminal zenu tunazijuaThere's nothing new here. What you are doing right now Kenya has been doing them since 2010. That alone should tell you that Tanzania is 10 yrs behind Kenya.
nilishangaa sana huu mradi hauendi kwa ile kasi tulioitarajiaInanisikitisha sana jinsi mkandrasi wa BRT Mbagala anavyotuchezesha shere! Naamini Prof. Mbarawa atampeleka puta!
Huyu mama ndiyo kawapa tender au ? Hiyo kampuni naijua ni kikundi cha mafisadi kokote wanapo kwenda wanafanya mtandao wa ufisadi na viongozi wa serikaliWamepataje tender ya msalato airport? Wonders shall never end
Du watakuwa ni mafisadi walio tukuka uwezo wao mdogo na wanazidi kupewa miradi mingiWana miradi zaidi ya minne ninayoijua, wanajenga mradi wa barabara Tanzania, Burundi (Kigoma) zaidi ya kilometres 200, wanajenga mradi wa billion 500 wa maji Arusha, wamejenga majengo kadhaa japo ni wababaishaji tu!
wacha ushamba the diffrence between the two ni moja iko na filters nkt! me huchukia ushamba sanaKenya kama ina laana picha zao za miji hata nsirobi zinakuwa zimechakaa na kupauka sijui kwanini tofauti na picha za dar yani ukicheki nairobi kwenye video utacheka mji umepalala umekuwa giza na vumbi tupu
hahaha that is not our state house thats the office of machakos governorHapa vp?
VS
Subiri kidogo ,,,wewe tulia tuli,, vutapumzi taratibuuuu utaona very soonHatukushangai na chuki unazoongea ukiwa ni mtu wa ile kanda ukiwa mwanamke mzee, macho mekundu na mjane unazushiwa mchawi na kuuwawa! Nadhani mlijua mtatawala milele kumbe mipango ya Mungu ni mingine!
Umeona main road hapoKweli unaangaliabattle imekua ngumu ukaamua ku change gear?View attachment 1940669View attachment 1940671View attachment 1940673View attachment 1940675
haahha wanawasiliana na Tanzania tuwakopeshe mahindi waliyosema yana aflatoxins hahahahahaHiyo top 20 aijawasaidia kumaliza njaa
Miji youtong inakimbia kw vumbi banaNlitaka kushanga kumbe 2013 View attachment 1940653View attachment 1940654View attachment 1940655View attachment 1940657View attachment 1940658Kwa taarifa yako akina ole sebai Wana usafiri mzuri kushinda nyie
Hatukushangai na chuki unazoongea ukiwa ni mtu wa ile kanda ukiwa mwanamke mzee, macho mekundu na mjane unazushiwa mchawi na kuuwawa! Nadhani mlijua mtatawala milele kumbe mipango ya Mungu ni mingine!
Ndio ujue magufuli alikuwa raisi makini siyo mpumbaavu wa msoga ,maana hayo yanayo ipata kenya yalikuwa yatokee na tzhalafu ninadai interest rate 30% ukizingatia ni mshirika wa benki ya Kenyatta family! Hapa ni mwendo wa kufinya tuu!!
acha kuchanganya madesa mbuzi wewe! hiyo ni response ya GoK kukopa mabenki ya ndani kulipa mkopo wa Mchina wa SGR!Ndio ujue magufuli alikuwa raisi makini siyo mpumbaavu wa msoga ,maana hayo yanayo ipata kenya yalikuwa yatokee na tz