Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njia nzuri ya kujilinda ni kumiliki mpira, Man u ni timu kubwa na yenye wachezaji wa viwango vya juu, unapocheza na vitimu vidogovidogo kama kale katimu ka jana huwezi kuogopa eti kisa mchezaji wako mmoja kapewa red.

Pale tulipopewa red nikadhani atamtoa Van de beek aingie Greenwood alafu atamtoa Bruno/Pogba aingie Varane zen tungecheza 4-4-1 au 3-5-1 kwamba unaua fowadi mmoja unabaki na cr7 mbele mana aliwaweza mapema.

Cha ajabu kocha katoa midfield kaweka beki mana ake anakaba mbele ya watoto, alafu katoa forward (CR7) kaingiza kiungo baadaye anatoa kiungo anaingiza forward yani hajitambui anafanya nini.
:D Mlipigwa na Yanga
 
Bei za Mafuta za wakati huu kati ya Kenya (Mombasa) na Tanzania (Dar).. price/litre
View attachment 1938457
View attachment 1938458

Mombasa kwenye bandari(port)
Petrol = 132.46 Ksh = 2781.66 Tsh
Diesel = 113.36 Ksh = 2380.56 Tsh
Kerosene = 108.57 Ksh = 2279.97 Tsh

Dar es Salaam kwenye bandari (port)
Petrol = 115.57 Ksh = 2427 Tsh
Diesel = 107.19 Ksh = 2251 Tsh
Kerosene = 103.62 Ksh = 2176 Tsh

hawa jamaa wanagongwa kila sehem
Unakuanga na akili kweli wewe? Fuel huwa in Mombasa and Dar is only differentiated by taxes applied on them by the government of the two countries. Fuel zinaletwa kwa port with the same price. Have you ever wondered why Uganda has cheaper fuel than Kenya yet they use Mombasa port to import their petroleum products?
 
Fool, it is "mabasi yetu" na si "mabasi zetu", otherwise u were speaking of "meza"!
Do I really give a fu-ck about Kiswahili?😂😂 The good thing is that my point is at home.


More of Kenyan buses

IMG_20210915_110341.jpg
 
Bei za Mafuta za wakati huu kati ya Kenya (Mombasa) na Tanzania (Dar).. price/litre
View attachment 1938457
View attachment 1938458

Mombasa kwenye bandari(port)
Petrol = 132.46 Ksh = 2781.66 Tsh
Diesel = 113.36 Ksh = 2380.56 Tsh
Kerosene = 108.57 Ksh = 2279.97 Tsh

Dar es Salaam kwenye bandari (port)
Petrol = 115.57 Ksh = 2427 Tsh
Diesel = 107.19 Ksh = 2251 Tsh
Kerosene = 103.62 Ksh = 2176 Tsh

hawa jamaa wanagongwa kila sehem
Kuna baadhi ya Watanzania wanatakiwa wahamie Kenya failed state angalau wakae kwa wiki moja tu wagongwe tozo za kutosha halafu akili zikiwakaa sawa warudishwe bongo.
 
Back
Top Bottom