Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,328
- 17,536
Niugulie wapi wakati sisi miradi yetu gharama yake ni 10x ya hiyo barabara?Unaugulia wapi mzee manake sio kw maumivu haya
GDP gani haiakisi maendeleo ya nchi, ni maradi gani ambao mmetumia hiyo GDP yenu kuonesha kweli mko vizuri?Endelea kuongea matope. After rebasing Gdp yetu itakuwa $120 billion. Nina insider information.
Sasa mbona hamuioneshi hiyo miradi? Hata kile kituo kimoja cha BRT mmekisusia.changamwe 3tier interchange inaendelea, dongo kundu bypass phase II inaendelea, nbi expressway, kisumu new inland port inaedelea, expansion of two rivers mall inaendelea, the 2nd tallest skyscraper in africa inaendelea 88nbi condominium in upperhill, it will be 220m tall