hili dude mliwahi kulitaja humu?!
First generation world war planes
Tuliwahi kusema humu j-5 zipo tunazifanyia maonesho watu wakabisha humu
Kimara-Kibaha Highway
Haya ma helkopta yao kwani c yatakuwa yameisha kwa kuanguka
First wht a fool...all that paragraph for typing errordo you even know the meaning of purchasing power parity?Sio purchesing you baboon, ni purchasing.., kama kuandika ndio balaa ni nini unaelewa wewe? Hapa usiseme eti ni typing error, ni ignorance on display, umebonyeza neno baada ya nyingine.., afadhali ungeweka auto correct mode., nyambaff, matunda ya elimu hafifu
So what is your point? The issue that was being debated here ilikua how your clueless govt has managed to borrow externally 71% and internally 28%., what is the economic sense in such a stupid move? argue along those lines wacha kuruka ruka na vijisababu ukionyesha mapungufu yako, mko wengi tu humu..,
Wacha kuongea kitu ambach hata interpretation yake huelewi....ivi ww unajielewa kweli?Hebu nipe economic interpretation ya kuwa na deni la nje 71% na la ndani 29 . Tuanzie hapo na wakati huo usilishe huo ubongo wako maboga ukumbuke deni la Tz ni himilivuSio purchesing you baboon, ni purchasing.., kama kuandika ndio balaa ni nini unaelewa wewe? Hapa usiseme eti ni typing error, ni ignorance on display, umebonyeza neno baada ya nyingine.., afadhali ungeweka auto correct mode., nyambaff, matunda ya elimu hafifu
So what is your point? The issue that was being debated here ilikua how your clueless govt has managed to borrow externally 71% and internally 28%., what is the economic sense in such a stupid move? argue along those lines wacha kuruka ruka na vijisababu ukionyesha mapungufu yako, mko wengi tu humu..,
Yani uyu hana hata basic concept za uchumi yuko apa kupayuka kama mbayuwayu anakwambia sisi tuko kwa disadvantage kwakuwa tume borrow sana nje kuliko ndani , hajui kuwa ukikopa sana ndani unazorotesa mzunguko wakati ukikopa nje sio tu unaongeza mzunguko lakin inasaidia kukuza uchumi zaidi sababu hata kodi haziwi kubwa, kama kukiwa na shortage of cash flow ambapo interest huwa inapanda sanaExternal borrowing is more favourable conpared to internal borrowing this will prevent stifling of the local econony hence avoiding liquidity crunch. The good example of liquidity crunch we see in Kenya where a big percentage of local revenues are being used to service loans leaving the govt with fewer options in budget financing. Kenya at the moment cannot implement a single project without borrowing hence effectively putting the country in a debt trap.
Wacha kwanza nimlete kwenye mada ya msingi ...mana hata basics to za uchumi zinamvuruga anaishia kuangaika na neno mojaKwahiyo akikosea kuandika neno la kingereza ni elimu hana ila wewe unapokosea maneno ya kiswahili ni bahati mby, nani aliwaroga nyie kima? Yani mmepumbazwa mpk machokoraa humu yakiongea"yes" "no" yanajiona yamesoma, yn kuwa mkenya ni laana wallahi, hata waingereza hawana habari na vitu vidogo vidogo mnavyo deal navyo nyie wehu
Kitu usichojua ni kwamba kuna aina mbili za lugha, kuna written na spoken so even English man anaweza akawa mzuri kwenye spoken na akawa mbovu kwenye written so just submitt to your English teacher I will pay for you sychophant moron
Kwa Takwimu hizi sgr inaenda Mwanza kufanya nini?
mbona helicopter zetu modern hazijawekwa?
JNIA ina runway ya 3000m, I don't get my figures from Wikipedia the way Methuselah is doing 😂😂🤣👇👇👇huyu hapa
Ndio hii hapa🤣🤣😂👇👇👇Hata sijui aisee katoa wapi hiyo 3 km!? 🤷♂️ 🤷♂️
JKIA runway length is 4,500m