komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,549
- 5,646
Sasa tuongelee hapa EA, ni pesa gani ambayo ina purchasing power..Ndio nini "economic wisdom" in economics...pili jifunze kuelew basics akuna kitu inaitwa kulimit outflow bali control...alafu wacha kusoma namba kama unasoma kitabu....ni kweli pesa yenu iko na value over ours yes but haina ppp kubwa kama yetu...
Ona mtu kupiga makona sasa