Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upumbavu! Tanzania's credit rating ipo juu ya Kenya! Ningeona huo mkopo wa Kunyaland wa maana kama wangeenda kujenga kipande cha SGR Naivasha-Kisumu-Malaba! Ila sioni impact yake maana wanachukua mkopo kipindi cha corona na kwa ujenzi wa highway wakati wanaendelea kusuasua kwenye ujenzi wa SGR ulioishia machakani!

Kwetu sie Samia anaenda Kigali kesho kusaini makubaliano rasmi ya electrical SGR Isaka-Kigali!

E7sVBHZX0AINnyy

Meanwhile the bag of goodies keeps coming!

That's a PPP mkuu, mfaransa hawezi Tia hela yake kwenye reli ya hovyo overpriced lenye mkono wa serikali ya Kikomunisti ya Uchina.
 
Labda miradi ya ppp ila miradi mingine ina unafuu kwenye masharti.Ni nchi ya kijinga tuu ndio inaweza kuacha kutafuta mikopo.

Tzn tuko mbali sana yaani natamani tukope hadi 80% ya GDP Ili tuikwamue Nchi kutoka kujikongoja na kwenda kwenye maendeleo ya ukweli.

Population inakua Sana kuliko kasi ya uchumi.
Nchi zinazojitambua hazikurupuki kukopa kwenye Jumuiya za Kimataifa kiboya hivyo,
Ni shithole countries za Ulimwengu wa tatu za Africa ndio wateja wakubwa wa IMF na WB etc
Madeni yao makubwa huwa ni ya ndani. In makes a lot of economic sense hata wakati wa kulipa
 
35 vs 33 vs 31 vs 33
Haya mbwa a.k.a mchumi uchwara mzee wa mikopo aje hapa aseme Kenya inazidi Tz kwa credit rating, huyu mbwa bora hakusoma wallahi angeuza nchi, anakwambia angekopa mpk asilimia 80% ya GDP
 
Nchi zinazojitambua hazikurupuki kukopa kwenye Jumuiya za Kimataifa kiboya hivyo,
Ni shithole countries za Ulimwengu wa tatu za Africa ndio wateja wakubwa wa IMF na WB etc
Madeni yao makubwa huwa ni ya ndani. In makes a lot of economic sense hata wakati wa kulipa
Taja hizo nchi unazosema hazikurupuki wewe kiazi.Kwa taarifa yako nchi zote zilizoendelea zina madeni kama yote na ndio njia rahisi ya kujikwamua nchi.

Hata wewe unaonekana hata biashara huna ,ungekuwa nayo ungejua kwamba bila kukopa utaishia kubaki hapo hapo hujui.
 
Kwamba debt to GDP ratio ikisha cross red line ww kwako ndio faida 😆😆😆😆
Nani kasema hivyo? At least I match na hiyo red line maana kwa Nchi kama zetu sio tatizo ukilinganisha na nchi ambazo ni developed kwa sababu kwao resources zinakuwa assumed ziko fully employed .
 
Kwani pinnacle ilikuaje ??? Mumesahau kwani montave ilikuaje ??? 😆😆😆 asante kwa render hio picha munapost nafkiri mwaka mzima sasa hvi au unabisha
Mbona siku hizi hitaji 88 Nairobi?😂😂🤣🤣. Hiyo picha ya construction Ni mpya, I think ni 5 days old.
 
Taja hizo nchi unazosema hazikurupuki wewe kiazi.Kwa taarifa yako nchi zote zilizoendelea zina madeni kama yote na ndio njia rahisi ya kujikwamua nchi.

Hata wewe unaonekana hata biashara huna ,ungekuwa nayo ungejua kwamba bila kukopa utaishia kubaki hapo hapo hujui.
Japan ina madeni lakini most ya madeni yao ni ya ndani na sio ya nje 😆😆 ww ndio hujui hata historia ya hizo nchi

Alaf jua kutafautisha developed countries and developing countries ww huoni pamoja japan ina madeni lakini inakopesha na inatoa misaada nchi karibia zote za africa
 
Huelewi kwa nini iko hivyo,mimi ni mwanauchumi najua kwa nn Japan ina madeni zaidi ndani kuliko Nje.

Kuna kipindi uchumi ukiwa unakua zaidi hasa kwenye nchi developed Serikali ina ucool down Ili usilete shida zingine kwa kupunguza pesa kwenye mzunguko,hii inafanyika zaidi kwenye developed countries Ili kudhibiti mfumuko wa bei na nimekwambia kwenye nchi zilizoendelea resources are assumed to be fully employed kwa hiyo control ya uchumi kwa njia ya kukopa ndani ni njia kuu.

Ukifanya hivyo kwenye Nchi kama zetu unakuwa mpuuzi,kwa sasa wanakopa kwenye solo dhaifu la ndani kwa sababu wamekosa huko nje.

LDCs zote zinahitaji pesa kuwa injected kwenye uchumi na njia rahisi ni kukopa nje,kuhakikisha liquity ndani iko ya kutosha,kuvutia investment ya ndani na nje.Kukopa ndani iwe kwa minajiri ya kudhibiti uchumi tuu.

LDCs kama Tzn zinahitaji mkopo wa Nje wastani wa 5T kila mwaka Ili kujikwamua.TRA wanakusanya 18T,vyanzo vingine combined havizidi 3T wakati bajeti kuu ni T 36 hiyo nakisi ya 15 T itafidiwaje wakati tayari serikali imecommit hizo pesa kwenye expenditure za recurrent na development?👇👇

Screenshot_20210802-101736.png
 
Back
Top Bottom