babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,119
- 27,201
JPM alivyo ondoka wakunya wengi walishangilia sana wakidhani labda miradi yake yote aliyo ianzisha SSH atapiga chini yote.Magu mbishi sn wallahi, hatimaye ndoto zake na za baba yake (Mwalimu) zinaenda kutimia lkn wote wakiwa wamelala, R.I.P our heroes. Hofu yng umeme usije ukawa haushuki bei kwa kigezo cha gharama za uzalishaji, mana paka hayupo panya wanatawala tu, JPM alikuwa anarudia rudia kusema kila siku kwamba umeme lazima ushuke bei, basi na iwe hivyo.
Ushahidi upo humu.
Kwa hiyo sasa hivi wakiona miradi yote inaendelea kama kawaida wanaumia sana kwa sababu wanafahamu michango ya hiyo miradi kwenye Uchumi wa Tanzania.