Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magu mbishi sn wallahi, hatimaye ndoto zake na za baba yake (Mwalimu) zinaenda kutimia lkn wote wakiwa wamelala, R.I.P our heroes. Hofu yng umeme usije ukawa haushuki bei kwa kigezo cha gharama za uzalishaji, mana paka hayupo panya wanatawala tu, JPM alikuwa anarudia rudia kusema kila siku kwamba umeme lazima ushuke bei, basi na iwe hivyo.
JPM alivyo ondoka wakunya wengi walishangilia sana wakidhani labda miradi yake yote aliyo ianzisha SSH atapiga chini yote.

Ushahidi upo humu.

Kwa hiyo sasa hivi wakiona miradi yote inaendelea kama kawaida wanaumia sana kwa sababu wanafahamu michango ya hiyo miradi kwenye Uchumi wa Tanzania.
 
Don't forget that JKIA has no facilities to handle the landing of big planes like A380.
You will never ever see that to happen because ur Airpot is typical old fashioned.
Msaidie mwenzako manake kw ishu ya air bridges anachakazwa kinoma
 
Sijawahi ona kiwanja cha kifamalanga na cha kimaskini kama hiki View attachment 1875671View attachment 1875672
kiwanja cha kisasa
images.jpeg-78.jpg
254748637942_status_12e54151f95843f5a7fa18b99a936db6.jpg
 
Maisha ya waturkana Bongo hayapo

Maisha ya Kibera ya kunyea kwa mifuko hayapo Tanzania
mbona basi hamukemei SA ilihali wao wako na Khoisans bushmen, Alexandra, Hilbrow, Khayelitsha etc, ata mbaya zaidi shinda Kibra.. licha hio ndio nchi iliyo endelea zaidi.. 🤔
 
Back
Top Bottom