Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa nakusapoti kwenye mambo mengi,ila hapa hapana. You are very wrong this time.
Mkuu, katika Mambo ambayo ninauhakika nalo ni hili la chanjo, unaweza kukakataa lakini ninakuhakikishia 100% nipo sahihi, mwisho utakubaliana na mimi, katika eneo ambalo Magufuli alishindwa vibaya ni
1)Kuchagua mgombea mwenza wa urais
2)Jinsi alivyokabiliana na janga la Corona hapa Tanzania.
 
unajua watu bado wana kasumba ya first and second wave hawajui jinsi gani hii third wave ni hatari na kwa kiasi gani!? Wanampea lawama mama tu kwavile wana "gospel belief" kwa kila alichosema JPM! That's so wrong especially from illusive politician like him on his isolationist and inward looking policies!
 
Sure mkuu,sekta ya utalii igeukie kuitangaza mafia island,kile kisiwa kina sifa zote za kitalii,huko thai visiwa kama vile ndio wanavitangaza sana kitalii
Kilwa na Mafia huko kuna historia kubwa ya waafrika kutawala himaya kubwa na kuwa na maendeleo yaliyotokana na ya biashara ya dhahabu. Mambo hayo ya kuitangaza kusini yanahitaji watu wenye maono kufanikisha.
 
unajua watu bado wana kasumba ya first and second wave hawajui jinsi gani hii third wave ni hatari na kwa kiasi gani!? Wanampea lawama mama tu kwavile wana "gospel belief" kwa kila alichosema JPM! That's so wrong especially from illusive politician like him on his isolationist and inward looking policies!
Geza bwana,
Ngoja nikwambie kitu hujui,
Mkitaka tuvunje rekodi ya dunia kama anavyotaka huyo mama yenu twende tufunge mitaa Kariakoo tupime kila anaeingia na kutoka,
I assure you huenda asitoke hata mtu mmoja akiwa Negative pale,
Pili the moment mnatangaziwaga mchukue Tahadhari, kirusi kinakuwaga kimeshasambaa mtaani kote kwenye Jamii na majumbani,
Sioni mantiki yako kusema 3rd wave ni hatari kuliko 2nd ama first,
Marafiki zangu wa Karibu ambao Majority ni Healthcare professionals yaani wote hata mimi n
wanaumwaga na kupona na kuumwa tena na kupona, na kuumwa tena dalili za Uviko-19 mara nyingi 2-3 weeks kabla ya nyie kuanza kusikia matangazo na tantalika zote wimbi za Covid-19 kuanza na Serikali yenu,
Cases zikianza kuwa reported kwenye Vituo vya Afya ndio nyie mnasanuliwa eti mchukue Tahadhari ( Tumia common sense tu )
Haya mambo ya Covid tuyaache tu ndio maana nimekunaliana na mdau ameshauri tuachane na huu mjadala.
 
Mkuu, katika Mambo ambayo ninauhakika nalo ni hili la chanjo, unaweza kukakataa lakini ninakuhakikishia 100% nipo sahihi, mwisho utakubaliana na mimi, katika eneo ambalo Magufuli alishindwa vibaya ni
1)Kuchagua mgombea mwenza wa urais
2)Jinsi alivyokabiliana na janga la Corona hapa Tanzania.
Mkuu, I bet you are not an Epidemiologist, neither a medical personnel,
Huna uhakika na chochote na hata WHO hawana uhakika na chochote kwenye Uviko 19,
Ukiwa na Hekima utaelewa kuwa handling ya Covid-19 ya JPM na nchi nyingine all of them yielded same outcomes in terms of mortality,
and probably JPM's way is far better sababu haikuathiri maisha ya watu kiuchumi.
May be ulitaka afunge nchi na aendee mikopo ya mabilioni ya Dola kama uhuru na m7
I also end this discussion here, nashauri tujikite kwenye Battle.
 
University of Dar es Salaam
20210527_160438.jpg
JamiiForums1950839240.jpg
IMG_20200528_071714.jpg
 
Taasisi za udhibiti ziko kwa niaba ya nani? Hizo chanzo zimeanza kutumika kwa Nchi kibao za Africa kabla yetu,what's wrong?

By the way kuna hata chanjo moja nyie mburura wa kiafrika mumewahi kuitengeneza?

Mumekalia ujinga na propaganda za dini za wazungu na waarabu,huu si ni wehu?

Wanaopinga kila siku wanazusha mambo ambayo hawajawahi thibitisha na ukiwaambia lete ushahidi hawana,pumbavu sana.
Wacha kuongea kama falamanga...kwani hujasikia madhara ya hizi chanjo ? Watu wamekufa alafu ww pimbi unaleta mbariga zako kuongea ujinga ,atakama ni 4 kwa 1000 still wale wale pia ni binadam
Mnao taka kuchanjwa mwende tusipangiane wala kushawaishiana ...
 
Wewe ndio fala yaani kufa watu 4 kwa 1,000,000 ndio useme ina madhara kuliko ufanisi? Mbona hutaji idadi ya maisha yaliyokuwa saved?

Huo ni ukima kama wa bwanako gwajima ,unaweza kufa kama una shida zinginezo nyingi kwa mwili especially damu ikiganda.

Kwamba wewe pimbi mmja una akili Sana kuliko Dunia yote wanaotumia hizi chanjo? Pumbavu sana ,leta ya kwako uliyogundua..

Na tunakoelekea itakuwa lazima just tuu kama ambavyo imekuwa Ulaya bila green card utaishia kulalamika kama vichanga vya tumbili.
 
Hii mada iacheni ina mambo mengi sana yakufkiria naomba tuiache tuendelee na mada zingine, kila mmoja anafikra zake na mtazamo wake lakini pia kwa upande mwengine gwajima alitoa kama tahadhari kwa serekali

Naomba tuachane na hii mada tafadhal nikiwa kama mwenyekiti
GEZA ULOLE was a victim of fake certificates, he disappeared for a while in jf, so he has psychological pain leave him,
The covid vaccine you can't say exists when the virus is in a mutation revolution
 
Back
Top Bottom