Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesema una ni ignore vipi tena Mzee.
Mimi ni mtanganyika halisi. Nyie mnakuwa kwenye uongozi mnaua wakristo. Niambie Muislam yupi ameuawa wakati wa Kikwete!? Muislam yupi amekufa mwaka huu.

Wote viongozi wakuu wakristo wameuawa.
Mkuu mbona unazungumza vitu vya ajabu ajabu, sidhani Kama haya unayosema yanaendana na heshima na hadhi uliyojijengea hapa JF, achana nayo yatakushushia hadhi yako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani ni vituko alooo
View attachment 1870409
yaani pia UpperHill ya kitambo inapo anza iko na better looking buildings.., tazama.., upperHill still young..
1627394602967.png

UpperHill ya sasa..,
1627394965805.png

1627394882907.png

1627394919402.png
 
What is your Motive on these Covid-19 Vaccines, I thought ni hiari, mbona unahamasisha sana?
Mkuu chanjo sio hiari, ni Kama sensa ya kuesabu watu sio hiari, sensa haina maana Kama wengine watahesabiwa na wengine wakatae kuhesabiwa.

Utakumbuka kulikua na viongozi wa wwaisilam walijaribu kushawishi waumini wao wakatae kuhesabiwa, serikali ilichukua hatua Kali na haraka za kuwatafuta na kuwaweka ndani, ninashangazwa na kitendo cha serikali kutomkamata Gwajima wakati anapotosha watu hadharani.

Coverage ya chanjo lazima ifikie zaidi ya 98% ndio iweze kudhibiti maambukizi nchi nzima, otherwise juhudi zote za serikali za kuutokomeza huu ugonjwa zitapotea bure.
 
Mzungu who loves Tanzania gives his views on the three East African cities..,

The street walk not the crowded bus..,
 
Mzungu who loves Tanzania gives his views on the three East African cities..,

The street walk not the crowded bus..,

Most of this buses ni sura tu but inside one hell of a place here out hectic matatu sector it's rare to find guys that much crowded
 
Mkuu chanjo sio hiari, ni Kama sensa ya kuesabu watu sio hiari, sensa haina maana Kama wengine watahesabiwa na wengine wakatae kuhesabiwa.

Utakumbuka kulikua na viongozi wa wwaisilam walijaribu kushawishi waumini wao wakatae kuhesabiwa, serikali ilichukua hatua Kali na haraka za kuwatafuta na kuwaweka ndani, ninashangazwa na kitendo cha serikali kutomkamata Gwajima wakati anapotosha watu hadharani.

Coverage ya chanjo lazima ifikie zaidi ya 98% ndio iweze kudhibiti maambukizi nchi nzima, otherwise juhudi zote za serikali za kuutokomeza huu ugonjwa zitapotea bure.
Mkuu Vaccine kama ya Covid-19 haiwezi kuwa Mandatory, huwezi kwenda jela sababu ulikataa vaccine, outewise that's something against medical ethics.
That Gwajima huwa sikubaliani nae kwa Mengi ila kwa hilo bado anahaki ya kuhoji usalama na ilipaswa ajibiwe tu kitaalamu na wala sio kwa mihemko, (natumaini umesikiliza hiyo clip yake hujaconsume secondary information) , bado more studies are needed to validate the efficacy and Safety.
Wizara ya Afya inashea concent form for it usaini ndio upate jab,
Mimi kwa kazi ninayofanya I may be willing to get vaccinated with mRNA Covid 19 Vaccine but siwezi kumlazimisha mtu mwingine achanjwe chanjo ambayo bado iko kwenye studies.
 
wewe unafikiria Manispaa ya Kinondoni haijui hilo? Ila wanafanya makusudi ili wasingizie hawawezi kupatunza! Wapate sababu ya kupabinafsisha! Yatatokea makundi kupigia debe Manji apewe kwa kisingizio cha uwekezaji we ngoja!
na uzembe lakini hata investment ya bakhresa zanzibar imesaidia sana maana kuna hoteli ya kueleweka watalii hawana mashaka. hata manispaa wafanye PPP hili kupata kitu cha kueleweka
 
huyu mshikaji mpuuzi sana angalia upumbavu anaoandika
Mkuu mbona unazungumza vitu vya ajabu ajabu, sidhani Kama haya unayosema yanaendana na heshima na hadhi uliyojijengea hapa JF, achana nayo yatakushushia hadhi yako.

Angalia hizi chuki kwa serikali na ndugu zetu Waislamu! hizi ni serious accustaions!! halafu ni Mkabila pia !

Sasa hivi mnawaua Family ya Mwalimu Nyerere mnataka kuipoteza History ya Tanzania.

Mlimuua Rosemary Nyerere
Jana mmemuua Sophia Nyerere.
Mnadhani mtatumaliza watanganyika

Umesema una ni ignore vipi tena Mzee.
Mimi ni mtanganyika halisi. Nyie mnakuwa kwenye uongozi mnaua wakristo. Niambie Muislam yupi ameuawa wakati wa Kikwete!? Muislam yupi amekufa mwaka huu.

Wote viongozi wakuu wakristo wameuawa.

Wewe ndio umeyataka haya. Nilikuambia sasa hivi unaanza kuhaha. Unadhani hatuwajui mnacho kifanya. Mlileta Kimeta ikulu mkamuua John Kijazi, mkamuua Magufuli, mkawaua wasaidizi wa Magufuli. Mkamuua Mkapa. Mnataka viongozi wenyenguvu wakristo muwamalize. Shame on you.
 
Sasa kama imekuwapo hapo over years haijaboreshwa kwa nini wasimilikiwhwe private sector ilete pesa kuliko saizi ni mavi kila sehemu na kila kima anaenda akijiskia na hakuna cha maana govt inapata
Serikali inauwezo wa kuboresha sehemu zote za wazi, kukiwa na nia ya dhati. Unataka kuwapa wakina Manji sehemu ya umma, vijana (25 - under) ambao ni zaidi ya nusu ya population wawe wanaenda wapi?
 
MY TAKE
Beautiful though the bridge doesn't look like 1.5 km! I see quality in it. Our northern neighbours can learn a thing!
 
Duh, sasa hii si level ya LDC πŸ˜‚, Siitegemei kwa wakulungwa wenye nazo, mapesa watatu wananweza nunua hili dude au wamwite songoro walipe kwa instalment.
Labda wanauwezo wakununua kende za kondoo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hapo walipo madeni yako juu ya makalio yao yakiwapumulia
 
Back
Top Bottom