Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeumia sana najua, lkn mambo mengine ni kujitakia tu maumivu, hivi mtu na akili zako unaweza linganisha JKIA na JNIA kweli? Hivi do you know why we decided to build the new Airpot whilst the old one is there and big compared to yours? Mambo mengine fumba macho potezea utajiumiza bure.
Ntakufundisha hadi lini bana? Tanzania only built a new terminal na sio airport 😂🤣😂😂, haya basi tuambie, why did you built a new terminal cause surely passengers number is not the reason going by how JNIA is struggling to do 1M passengers per year 🤣🤣😂
 
Kama ulivyopotezea bullet train hii nayo potezea, utajiumiza bure.
Endeleeni kushindana na Somalia bana😂😂👇👇

IMG_20210712_220639.jpg
 
Yani hizi hasira zote ni za headquarters and Britam becoming the most beautiful building in East Africa?😂😂🤣
Ni kawaida yenu kuhangaika na cheap propaganda!!!Sasa hilo jengo lina uzuri gani?!hebu tuwe wakweli!!! Halafu we teargas utakuwa na matatizo ya akili!!!Au labda wakati mwingine unaingia JF ukiwa umelewa sana!!!
 
Hiyo Municipality ni Jiji lenye power sawa na Jimbo, yaani Ni jimbo na ni City na linakua controlled moja kwa moja na Central Government of the People’s Republic. Tianjin ipo Katika Jimbo la Hebei lakini haihesabiwi ni Jiji ndani ya Jimbo hilo.

Majiji mengine yenye hadhi hiyo ni Beijing, Shanghai na Chongqing.
Hii ni highest level ya ku classify majiji Nchini Jamhuri ya watu wa China.
BTW ki county kule ambacho ni kamji cha kijiji flani kinazaba takataka zote za East Africa

Sio kwa miundombinu wala maisha. Hizi Villa na Nyumba kazi tunaziona huku za wadosi kule zingine zipo kijijini kwa walima vitunguu.
2857484_1627233766995.png

Hii picha ni kama vile wamechimba handaki kupitisha barabara ili tuu wahifadhi majengo ya kihistoria. Jamaa wako poa sana. Sisi kwetu tukipata watu wenye maono tunashidwa kuwalinda.
 
Wewe hakuna unachojua, midomo tu ndio mingi lakini akili Ni porous . Back to big planes landing at JKIA, the answer is yes, any plane in this world can land at JKIA. The only facility that determine kama a plane can land at a certain airport ni runway, bigger planes will need longer and wider runways and that's why JKIA can handle any aircraft in this world. JKIA runway is 4500m by 60m, ya JNIA ni 3,000m by 45m.
Hamna air bridge ya ku handle A380 pia hata hata security infrastructure ya kuhudumia pax ya A380 hamna
 
Hiyo Municipality ni Jiji lenye power sawa na Jimbo, yaani Ni jimbo na ni City na linakua controlled moja kwa moja na Central Government of the People’s Republic. Tianjin ipo Katika Jimbo la Hebei lakini haihesabiwi ni Jiji ndani ya Jimbo hilo.

Majiji mengine yenye hadhi hiyo ni Beijing, Shanghai na Chongqing.
Hii ni highest level ya ku classify majiji Nchini Jamhuri ya watu wa China.
BTW ki county kule ambacho ni kamji cha kijiji flani kinazaba takataka zote za East Africa

Sio kwa miundombinu wala maisha. Hizi Villa na Nyumba kazi tunaziona huku za wadosi kule zingine zipo kijijini kwa walima vitunguu.
daah east Africa bana
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom