Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi wacha nijitoe just know our roads are several kilometers and superior wareva those Tanzanians will tell you to make themselves feel better dont buy it... they delusional me am out will be back when the topic changes
Screenshot_20210722-113743_Chrome.jpg
 
Hawa jamaa comedian kweli ukikutana nae mjini amevaa suti utafikiri ni mtu wa maana sana sasa ngoja jioni uone anapoelekea kupumzika kiberaaaa. Hivyo hivyo hufanya kwenye data zao katika ngazi zote.
Piga kwako picha nami nipige kwangu tuonyeshe na ukipiga kwa neibour tutajua
 
Mama kaingilia wapi hapa wewe zuzu???? Mbona unamuingiza mama kwa haya? Nilidhani we mjinga lakini lakini sikujua wewe wazimu???
Una mama wewe??? Mtu mwenye akili hawezi ongea kwa mama! Wallahi ungekuwa karibu!!!!

Are you making these arguments personal??? Don't think I can't trace you wherever you are in that dirty Tanganyika of yours.

Fool, never ever put innocent people you know nothing about in your stupid arguments.
Yani we PIMBI kweli unaongelea puani kabisa kwamba utani trace, daahhh ujanja wa kizamani sana huu, how old are you kwanza
 
Kumbe sio 4k ni 3k
Tena alizoacha mkoloni 🤣🤣🤣

Wewe inakuingia akilini Kunyaland iwe na barabara nyingi kuliko tanzania yet Tanzania mikoa yote inafikika kwa lami wakati Kunyaland lami ni naipori-slums-everywhere tu na counties za pembezoni?🤣🤣🤣
 
Toilet paper ya jubilee as usual 🤣🤣🤣🤣

Hizo pumba si ndio zimefanya Muwe exposed au unafikiri ni nini?

Pambaneni na 3k zenu mdogo mdogo 🤣🤣🤣
Wakati unalia mimi nakudunga na facts 😂🤣😂🤣.
Please compare and contrast😂🤣😂🤣😂

Kenya.

2424280_IMG_20200611_130314 (1).jpg


Vs

Tanzania
Screenshot (16).png
 
Tena alizoacha mkoloni

Wewe inakuingia akilini Kunyaland iwe na barabara nyingi kuliko tanzania yet Tanzania mikoa yote inafikika kwa lami wakati Kunyaland lami ni naipori-slums-everywhere tu na counties za pembezoni?
Hili swali huwa najiuliza sn, Tz ni kubwa mara mbili ya Kunyaland alafu Tz miji yote ina fikika kwa lami alafu anakuja mtu kanchi kao kamejaa vumbi eti wametupita, hili jambo hata Wakenya wa humu hawakubali sema wanajikaza tu
 
One of the most common Kenyan trait is calculating and weighing issues on tribal barometers, they're nincompoo in totality 😅😅😅

🤣🤣🤣🤣🤣 3k mkuu

Nimeangalia maana ya improved kwenye dictionary ya construction nimepigwa na butwaa kumbe nyingi ni moram na vumbi 🤣🤣🤣
Msisahau jamaa wa maendeleo chapchap alifanya re-surfacing tricks tu! Hamna barabara pale!
 
Back
Top Bottom