Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

look at wat they post on their National news papers and on their National TVs,just a stupid post from a stupid blogger and they believe it true,Most of Bongolalaz have no Dignity,munaezaje Amini iyo post!!!!!!🤔🙄
Masomo uchwara., alafu wanatamani ikue ukweli., by the way ile moto iliochoma Kariokoo in Dar ingekua ni Nairobi, kilaza angekua amepost hapa na matusi zote., realities happening zinaendelea ku expose how backward and way below they are. Kelele mingi tu😂
 
Huyu hata mwalimu wake alikuwa na muda mgumu sana, if he ever went to school that is
Kwani bado you still try to reason with the idiot?😂😂😂😂 huyo unamuonyesha level ya akili yake mahali inafikia, u can't have meaningful argument with a low IQ., aliji expose how ignorant and clueless he is., huyo ni wa kuchezea chezea tu kama paka anavyo mfanya panya baada ya kumkamata, nothing serious😂😂😂., Kazi yake humu iliisha, nikutapatapa tu with empty rhetorics, hana ushawishi, ni king wa vilaza wengine wawili humu, unawajua😂😂😂😂
 
Masomo uchwara., alafu wanatamani ikue ukweli., by the way ile moto iliochoma Kariokoo in Dar ingekua ni Nairobi, kilaza angekua amepost hapa na matusi zote., realities happening zinaendelea ku expose how backward and way below they are. Kelele mingi tu😂
wangeanza kutuambia hoo sijui Gari ya Zimamoto yenu sijui ni nzee 🤣🤣🤣😬🤣🤣🤣🤣
 
mjibu kwanza mwenzako swali alilouliza

wakenya wamepitia izi vitu hata kitambo banaah

1626168571590.png


 
Si mara yako ya kwanza kuleta links ambazo hujui zinazungumzia nini. Hii ujinga utawacha lini na uerevuke?
Tafuta sehemu wameandika dollar tatu 🤣🤣 yani nyinyi muwe na ushuzi mbaya zaidi ya zimbabwe alaf useme dollar tatu kwa siku
 
Kama kawaida lami hukua tu kwa main road. Most suburbs in Dar hakuna lami. Nikiwa Dar hapo maeneo ya Sinza barabara mingi hazikua na lami na ni a middle class residential area.
Ikiwa lami hakuna CBD nairobi itakua bunju 😂😂😂😂 na ukumbuke na dar nikubwa mara tatu ya nairobi 👇👇👇👇
 
Ata Kama Gor haina facilities Kama za yanga,hamtawai watoa kwenye Game😢Leo nacheka mpaka neighbour akuje mazishi🤣🤣🤣🤣
Ww unaeza kua na team kubwa haina banda la choo 🤣🤣🤣 faida ya hio team iko wapi au inaliwa na wajaluo wachache
 
Lakini hawapati medali any😢labda mpeleke chizi flani wenu Motoka,anakimbia Kama Safari rally eeeh🤣🤣🤣🤣🤣
Hawapati ukimaanisha ww ndio unaetoa hzo medali au?? 😂😂😂 wivu roho mbaya ndio urithi kenyatta aliwaachia
 
look at wat they post on their National news papers and on their National TVs,just a stupid post from a stupid blogger and they believe it true,Most of Bongolalaz have no Dignity,munaezaje Amini iyo post!!!!!!🤔🙄
So blogger za kenya ni stupid 🤣🤣🤣🤣
 
The civil aviation of Kenya is a joke ajali nyingi kila siku cant they be strict and responsible ama ni rushwa ndio root cause
😂😂😂 wanakwambia wamesoma hao eti wakijua broken english tayar ana degree mbili
 
Hawa jamaa wanaamini DAR yote ni kama pale manzese na mburahati...Hawajui watu walijenga kila Pembe tena vitu vya adabu...real estate haijakomea kenya tu nyie nyumbu
Mbona sijaona vitu vya ajabu kwenye hizo picha jamani? Kitu cha ajabu tu nimeona ni kwamba sehemu moja inapigwa picha in five different angles
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom