Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maktaba street.

IMG_9245.jpg

IMG_9246.jpg
 
Hajulikani hata mmoja hapo, nenda kwenye youtube yako ukikosa video za watanzania 10 zipo trending Kunyaland njoo uniambie

Alikiba yupo Kunyaland anaondoka na pesa mara 10 za hao wakimbiahovyo wenu bila kukimbia kama kichaa, yeye anasema tu yoyoyoyo mnampa pesa zote mlizonazo sasa nani mjanja? 😂😂😂😂😂
Mchawi hajaikuwa mjanja hata siku moja.
 
Kuna mkunya anasema Dar viwanja bei rahisi

43 kilometres from CBDs land prices hii hapa 😂😂😂

Yeye alete 43 kilometres from Nairobi land prices as well tuone

 
Kuna mkunya anasema Dar viwanja bei rahisi

43 kilometres from CBDs land prices hii hapa 😂😂😂

Yeye alete 43 kilometres from Nairobi land prices as well tuone


Tilisi Estate in Tigoni, Limuru bei inaanzia 23 millio, almost double of what unapost hapa. Hata sitaongea kuhusu Tatu City which is 35km from CBD plus many properties in Isinya and Kajiado over 60 km from CBD.
 
Kama kawaida lami hukua tu kwa main road. Most suburbs in Dar hakuna lami. Nikiwa Dar hapo maeneo ya Sinza barabara mingi hazikua na lami na ni a middle class residential area.
Sinza ulikua mtaa gani?mkija bongo mue mnasema
 
Back
Top Bottom