Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Whilst some countries have only three old planes to fly
Newbie,wannabe regional airline doesn’t feature on this list.
699F5B24-BA92-469F-A69E-73A9D93005D3.jpeg
D0E8AE49-EF47-47DD-B999-F10EA2D1BADF.jpeg
 
Unakumbuka walivyo pewa kichapo na wanamgambo wa Somalia...na ukumbuke walikuwa tayari kushambulia...cha kushangaza battalion yote ilifekwa na ukumbuke battalion moja huwa ina wanajeshi 300 hadi 1,000.

Na ni ndani ya nusu saa tu.
Story za vijiweni! 🤣 🤣 🤣 🤣 💉 💉 💉 💉 💉 💉 💉
 
Yaani haihitaji nguvu nyingi kugundua ID zinazosumbuliwa na njaa kali, depression kali, na ukosefu wa ajira uliokita mizizi.

Unaniletea makasiriko utadhani Tanzania ndio inasababisha njaa na ukosefu wa ajira huko failed state.
Wewe kwanza unakula kitimtu inaonekana! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Njaa iliyokolea+ujobless uliokita mizizi+stress unapata depression kali.

Kazi ni kudownload picha za pesa mitandaoni na kuwatumia watu kuwa ni zako.

Una tofauti gani na con man!
Afadhali con man, nyie waizi wa watu, hadi nchi za watu mnaweka order vijana na watoto waibiwe ile msikose mchemsho na choma ya Kiepe, dadeq! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
'Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,' Kenyans Tell ...
Angalia njaa hapo chini! 👇😂😂
In a scenario comparison, Kenyans who are in Tanzania are mostly running businesses or in managerial positions, all which are jobs considered to be dignifying while a huge chunk of Tanzania nationalities in Kenya are beggars who have been exploited by being smuggled into …

The ‘silent killer’ of Africa’s albinos - BBC Future

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Afadhali con man, nyie waizi wa watu, hadi nchi za watu mnaweka order vijana na watoto waibiwe ile msikose mchemsho na choma ya Kiepe, dadeq!
'Empower Your Beggars, Our Streets Are Full,' Kenyans Tell ...
Angalia njaa hapo chini!
In a scenario comparison, Kenyans who are in Tanzania are mostly running businesses or in managerial positions, all which are jobs considered to be dignifying while a huge chunk of Tanzania nationalities in Kenya are beggars who have been exploited by being smuggled into …

The ‘silent killer’ of Africa’s albinos - BBC Future

Unamwandikia nani taarabu.

Unapiga kelele hapa huku hujui lolote, ndege za mafunzo kwn hazipati ajali
Anaongea kana kwamba hakuna ndege ya kijeshi ilianguka na kuua wanajeshi kwao, kana kwamba wanajeshi wao hawakucharazwa Darfur, kana kwamba congo hawapajui, kana kwamba lile bus la kijeshi lililoanguka lilikuwa halina watu ndani, kana kwamba Comoros hawakukiona cha moto hadi kupoteza wanajeshi wao.... Nk nk nk? 🤷🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom