Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ametoroka 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 narudia tena the only three level interchange with roundabout bara nzima iko mombasa pekee
IMG_20210621_232354_707.jpg
IMG_20210621_212924_496.jpg
 
Namuona kakasirika
Eti mimi ni native speaker na wakati ni lisukuma tu la chato..

Bado nasubiria mkafuteView attachment 1825970View attachment 1825971
We mpunga wa juha me kwangu sioni dhambi kuonyesha taarifa zangu kwa kalio kama wewe, hii apa chini ni birth certificate yangu, Me sio mskuma wewe,
Screenshot_20210621-233949_1.jpg
kama unajiona wa pwani basi ujue me mzaliwa mzee.. Me ni wa hukoo Tanga mapenzi yalipozaliwa, kwahiyo we huniambii kitu chochote kuhusu kiswahili
 
We mpunga wa juha me kwangu sioni dhambi kuonyesha taarifa zangu kwa kalio kama wewe, hii apa chini ni birth certificate yangu, Me sio mskuma wewe,View attachment 1825978kama unajiona wa pwani basi ujue me mzaliwa mzee.. Me ni wa hukoo Tanga mapenzi yalipozaliwa, kwahiyo we huniambii kitu chochote kuhusu kiswahili
Hayo mimi hayanihusu
Mi nataka unihakikishie km hilo neno hapo chini ni swara au swala..
Huenda ikawa sioni vizuri mswahili
 
We mpunga wa juha me kwangu sioni dhambi kuonyesha taarifa zangu kwa kalio kama wewe, hii apa chini ni birth certificate yangu, Me sio mskuma wewe,View attachment 1825978kama unajiona wa pwani basi ujue me mzaliwa mzee.. Me ni wa hukoo Tanga mapenzi yalipozaliwa, kwahiyo we huniambii kitu chochote kuhusu kiswahili
Huyu mbishi wa kuzaliwa utaumwa na kichwa bure brother 🙂
 
Swara ndo nini? Umeshaambiwa mara Mia swala ndo Neno sahihi for the name gazelle/antelope kwetu ukija na hilo utakula kibao 🙂wakenya mnaongea Kiswahili mandazi
Akili zake zinavyokutuma ni kwamba sisi tunasema Swala kwasababu hatuwezi kutofautisha L na R 😂😂😂, kuna Mijitu ni mitahira kweli. Linang'ang'ana kabisa eti 😂😂 Dah.!! Hii mimbwa tujikaze tu mana bila hivyo tutawatukana sana, ni upumbavu ulioje kubishana na mtu mwenye lugha yake
 
Back
Top Bottom