Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu utani sasa. Yaani kadude kembamba hivyo ndiyo stand. Ikinyesha mvua watu watasimama wapi?

Jinsi stendi za bongo zilivyopana , mvua ya upepo ikipiga maji yanaingia hadi ndani sasa hawa wenzetu na vistendi vyao vyembamba sipati picha na kingine brt buses zitakua zinapishan vipi 🤔 wakati lane yenyewe moja tuu
 
Nyumba za ndoto zetu aka dream houses😂 😂 😂
Screenshot_20210606-014044~2.png
 
they will use low floor buses and the brt lanes will be separated from other lanes physically.....there's alot you don't know about the corridor that's why am telling you to have patience
lanes zenu zitakuwa separated kama hii
 
Back
Top Bottom