Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,512
- 5,845
Kweli Sana mkuu nimejikuta nacheka na idea alotoa ambayo sio favourable kwetu Sisi consumers kama ulivo tangulia kusema there are so many sectors that the government can use as a source of income hapa Musa alitoa point zero.Unajua hii mizee inaona simu kama vile ni luxury! Kutoza simu kodi mpya ni kukosa maarifa wanatakiwa watafute vyanzo vipya vya mapato kwa mfano utoroshaji wa madini ya vito ukizuiwa hiyo hela anayotaja inakusanywa kirahisi! Huduma za mawasiliano mfano upande wa data kunatakiwa kuwa bei ya chee ili kuchochea maendeleo ya teknologia! apps, bootcamps, startups zote zinategemea bei chee kwenye upande wa data!