Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20210605-185455_1.jpg
FB_IMG_1623197810305.jpg

DSM
 
last year 36b wapi!?.... na hii ndo imekua the largest budget yet.
uwivu wenu waTz tunawajua. mna wish sana mngeweza shida kenya.. lakini bado tu unakuta kenya iki wa dorminate kwa kila sekta..
(kuwa na gdp ×2 ya tz,.. uta expect kenyan dorminance kwa kila kitu.. si ajabu.
isikuje kama rude shock!. but was more than expected).. sawa kaka brasa! hope umenipata vyema
LOL your annual collection is 1 trillion halafu mnakuja na budget ya 4 trillion? Hiyo 1 trillion hata kulipa mishahara tu haitoshi

Kenya hutumia 1.2 trillion kulipa mishahara tu 😂😂😂😂 bado kulipa mikopo iliowaganda mpaka matakoni 😅😅😅
 
Km hujui kingereza mtihani wa KNEC utaujibu vipi, kenya ni lazima ujue kingereza ndio uelewe mambo yanavyokwenda shuleni
Sio km nyie kingereza munekiweka km part two kwenye sarakasi lenu la utoaji elimu...
AkA ubabaishaji system, only in tanzania km si shobo ni nn
Wewe hata shule hujaenda, kuwa mpole.
 
Km hujui kingereza mtihani wa KNEC utaujibu vipi, kenya ni lazima ujue kingereza ndio uelewe mambo yanavyokwenda shuleni
Sio km nyie kingereza munekiweka km part two kwenye sarakasi lenu la utoaji elimu...
AkA ubabaishaji system, only in tanzania km si shobo ni nn
Mnataka kusema kila mkenya anajua kiingereza!nishakutana na wakenya kibao abroad hawajui kiingereza
 
Kibera isn't only the biggest slum in Nairobi, but the Biggest slum in Africa, and world at Large,
Remember there are 2.5m inhabitants in Nairobi slums, accounting for 60m population of Nairobi.
This just shows your level of ignorance. Kibera might be the biggest in Africa but not the biggest in the world. Have you heard of the following slums?
1.Dharavi in Mumbai India
2. Neza in Mexico
3. Orangi Town in Karachi Pakistan
Do you know how big they are?

Secondly, Kibera has only about 170k-250k people and it's the biggest. How Nairobi slums in total hold 2.5 million people only you can tell us. Huku hatuna slums everywhere like you have uswazi everywhere down there
 
Back
Top Bottom