Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam City.

IMG_7572.jpg

IMG_7571.jpg

IMG_7570.jpg

IMG_7569.jpg

IMG_7568.jpg

IMG_7567.jpg

IMG_7566.jpg

IMG_7565.jpg

IMG_7564.jpg


 
Et
Utapata unplanned settlements with full of modern house and and socialservices barabara za lami na kila kitu lakini slum utasubiri dunia iumbwe tena ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hizi ni slums ๐Ÿ’ฏ
 
Yaani mkunya wa kawaida anunue unit kwa zaidi ya USD 63000+..ukizingatia 60% ya wakenya wanaishi kwa slum..unatuona sie wajinga wenzako??..mkenya wa kawaida anapata wapi USD 63000!???..hiyo labda upper class kwa hapo kunya..hiyo hela ndo anayotumia mtanzania kwa vitu vyoote kuanzia ardhi kubwa,anajenga nyumba yenye ukubwa autakao
60% ya wa Kenya!!! Yaani mko desperate hivi hadi mnalazimisha fikra zenyu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., bro jikubalini., facts zimewaumbua, mji mkuu ni picha ya ufukara Tanzania., backward people..,
 
Naona umechange gear angani ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kama wakenya hawana pesa hizo estates zisingejaa kila kona ya nchi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Wanashangaa shangaa kulikoni 254!., Walidhani sisi ni size yao kumbe bado wako team akina Malawi, level za Burundi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., ni povu naona humu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, sioni jibu kutoka south ni Kiswahili focus iko Kenya, hakuna Cha kuleta kutoka south, maybe warudi tu kwa mapicha za pale CBD yao tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watanzania wakizubaa na nairobi na dar wanasahau kenya unatumia ugatuzi sasa, hela inagawanywa kwa kila mji relatively, pesa haibaki nairobi sasa. ndo maanake hadi dessert areas za kenya sasa zimeanza kuinuka. sasa hatushuglikii miji kadhaa tu bali miji yote miaka Kumi ijayo kila town itakua kubwa ya kujisimamia si lazima Nairobi ndo maana picha kama hizi za development hadi kwa jangwa mtazidi kuziona sana. sasa hivi I cant engage in watu wanaonyeshana eti mvua imemwaga uchafu kwa street, its below me na haiongezi maarifa

images (18).jpeg


images (17).jpeg


images (16).jpeg


images (15).jpeg
 
Ukimwambia zoom tuone kwann mzungu hakuona slum anakimbia mbio ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ yani mzungu awekeze trillions of money hewani aone slums za dunia asione ya dar haitawah tokea ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ hapo utaona unplanned settlements lakini hzo nyumba ni za kisasa hakuna tope waa mabati wall ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡View attachment 1790087View attachment 1790088View attachment 1790089View attachment 1790090
Middle class ya Dar, Kuna nyingine tena?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , next time usiogope kuweka hizi picha za mido class., be proud of your city๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
 
Back
Top Bottom