Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekwepa sasa unatafuta pa kutokea🀭🀭🀭, nimeshindwa kukaza kicheko wacha tu nicheke bro, leo ni zamu yangu kukuchekaπŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Mm nikwepe ushuzi 🀣🀣🀣 yani mumekaa mulazmishe slum wakat mzungu haoni uone wewe njaa tupu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ funga acc sasa utoke jamii forum mumebakia na estates za wenyewe unakuta mtu mmoja anamilikia estates 10 alaf wanaopangisha watu elfu 50 hawana ndoto ya ardhi wala matumaini na maisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Punguza hasira 😁😁😁😁 leta picha kwani ni ngumu vipiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hio rangi nyeusi yote ni poriπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£ ndani ya 696km sq
88349C2D-9272-4605-8094-52BB6A30D120.jpeg
 
Mm nikwepe ushuzi 🀣🀣🀣 yani mumekaa mulazmishe slum wakat mzungu haoni uone wewe njaa tupu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ funga acc sasa utoke jamii forum mumebakia na estates za wenyewe unakuta mtu mmoja anamilikia estates 10 alaf wanaopangisha watu elfu 50 hawana ndoto ya ardhi wala matumaini na maisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hauna za kwenyu tu level unatafuta matako ya Kenya ili ujiliwazeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., Mwehu kama mwehuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜., Dar haupati anything so far.., πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£., endelea kujitekenya na kucheka kwa matako ya KenyaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.,
 
Sisi hatujengi ilimradi sisi tunajenga kutokqna na uhitaji ndio maana deni letu ni 32% to GDp ratio nyinyi muko 80% to GDP na bado munajenga vitu vyakizamani kwa bei kubwa na havina faida kwa sasaπŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1788339
Rudia tena bila machoziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hatukuwatuma muishi kwa dream houses😁😁😁😁
 
Umeona vile muna upuuzi kichwani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ yale yale niliokwambia munaingiza nchi kwenye madeni makubwa kwa vitu hamuna uhitaji wa leo wala keshokutwa 1.7b ksh Don YF

Rudia tena bila machoziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hatukuwatuma muishi kwa dream houses😁😁😁😁
Bakia kuonesha estate zinazomilikiwa na investors pamoja na politicians mm nakuonesha nyumba za watu binafsi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Zinazomikiwa na mtu mmoja mmoja
72822C7F-7333-48D9-8C48-E8AA0125E8B2.jpeg
6EB4AA6D-809A-4A47-AAC5-A4105A8962CA.jpeg
 
Umeona vile muna upuuzi kichwani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ yale yale niliokwambia munaingiza nchi kwenye madeni makubwa kwa vitu hamuna uhitaji wa leo wala keshokutwa 1.7b ksh Don YF

Hii mada ya siku nyingineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeona vile muna upuuzi kichwani πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ yale yale niliokwambia munaingiza nchi kwenye madeni makubwa kwa vitu hamuna uhitaji wa leo wala keshokutwa 1.7b ksh Don YF

Unamjengea waste treatment plant Mkunya aliyezoea flying toilets!
 
Back
Top Bottom