Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Morogoro road ukitoka cbd na kariakoo😂😂😂
images (1).jpeg
images.jpeg
images (2).jpeg
 
Waambie iyo ndio temeke wanayoiita slum na kufananisha na kibera mitaa imenyokaa na iko paved na inataa je mathare uko wanasemaje
Sisi hatuna slums. Tuko tu na dream houses in middle income estates 😂 😂
Welcome to Nairobi guys 😂
Screenshot_20210515-122233~2.png
Screenshot_20210515-122309~2.png
Screenshot_20210515-122323~2.png
Screenshot_20210515-122345~2.png
Screenshot_20210515-122523~2.png
Screenshot_20210515-122626~2.png
Screenshot_20210515-122126~2.png
Screenshot_20210515-123651~2.png

Nimependa sana hiyo picha ya mwisho. Hayo madirisha ya hiyo dreamhouses yanafurahisha kweli. Sijui ni kama milioni ngapi hivi hizo madirisha. Alafu naona mwenye nyumba Venus Star msomi mwenyewe amefanya hadi landscaping moja ya nguvu kando ya nyumba. Lakini mbona umeua mbwa kwa njaa Venus Star? 😂 😂 😂
 
Sisi hatuna slums. Tuko tu na dream houses in middle income estates 😂 😂
Welcome to Nairobi guys 😂
View attachment 1785781View attachment 1785782View attachment 1785784View attachment 1785785View attachment 1785786View attachment 1785787View attachment 1785789View attachment 1785790
Nimependa sana hiyo picha ya mwisho. Hayo madirisha ya hiyo dreamhouses yanafurahisha kweli. Sijui ni kama milioni ngapi hivi hizo madirisha. Alafu naona mwenye nyumba Venus Star msomi mwenyewe amefanya hadi landscaping moja ya nguvu kando ya nyumba. Lakini mbona umeua mbwa kwa njaa Venus Star? 😂 😂 😂
Unatuletea picha za mwaka 1992. Hebu kuwa serious basi 🤣 🤣🤣
 
Ilishatoka huko wakati those are live images on Google Earth! Wewe msomi ndio uliiondoa?
Ondoa ushamba wako mzee. Unadhani Google Earth inapiga picha!!? 🤣 🤣🤣
Tafuta kuwa na exposure kidogo uijue Google Earth ijafanya kazi vipi

Au nipatie pesa kidogo nikufundishe.
 
Ondoa ushamba wako mzee. Unadhani Google Earth inapiga picha!!? 🤣 🤣🤣
Tafuta kuwa na exposure kidogo uijue Google Earth ijafanya kazi vipi

Au nipatie pesa kidogo nikufundishe.
Nifundishe IT expert asiyejua maana ya economy. Am all ears
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 leo wanakula viboko vikali sana. Hakuna huruma tena
Nilikuambia hawa hawapelekwi polepole. Kama kuna kitu wanachukia ni aerial images coz it exposes their rot. Unaona mmojwa wao ashaanza kuzikana 😂 😂
 
Back
Top Bottom