Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Kenyans wanaoiga kelele kuhusu watu weusi wa TANZANIA hawaonekani kwenye list ya wabongo wenye hela 😂😂 ikiwa uku hadi wa mama/mama moja mweusi una uwezo wa kuweza 50m-60m us dollar .. Tony254 Yosef Festo Coco reborn njoeni hapa mpate funzo. NB .hii ni uko porini geita 😂😂

Kunyaland mtu mweusi mwenye uwezo wa kuwekeza hivyo lazima atakua mwanasiasa,huwezi kukuta raia wa kawaida ana mshiko wa maana
 
Mambo yapo mwishoni kabisa
IMG_20210511_080719.jpg
IMG_20210511_080716.jpg
IMG_20210511_080713.jpg
IMG_20210511_080710.jpg
 
Express way inajengwa na mchina kwa fedha yake na ataimiliki kwa miaka 30 na mutatoa ushuru kwa miaka 30 bado unakenua meno wakat mumeingia mkenge tayar kama SGR🤣
😂😂😂😂Sa stress yako ni kulipa tu,hio si issue,,ata walipishe 100 yrs tutalipa,that road is classic men😍😍
 
Back
Top Bottom