Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

How many years for Dar to ever get such in the rurals?
20210507_102752.jpg
 
mama kesho anakuja Dar kuongea na wazee wa Dar es Salaam. Nadhan ataanzishe kampeni ya uchangiaji wa jambo fulan mfano ile kuboresha huduma ya mama na mtoto wakati wa kuzaliwa


uwepo wa waziri wa afya kwenye huu mkutano .. nadhan mama ataanzisha hii kampeni wa uboreshaji wa huduma ya #midwife ili kupunguza vifo vya wamama na watoto
 
Leo nimepita kariakoo wanatangaziwa kwamba wanapewa wiki moja kama sikosei, haitakiwi raia kupita barabarani, so wamachinga wanatakiwa waondoke.

Ofcz ktk vitu ambavyo JPM alikuwa ananiudhi ni hapa kwa wachuuzi, haiwezekani mtu aweke banda lake popote pale, maanake nn ss? Watu wamejenga vibanda kwenye side walks zen raia waliojengewa wanapita barabarani, hii ckuwahi kuikubali na sitoweza kuikubali hata kdg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom