Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wasomi wa humu, swali langu leo ni kwa takwimu. Hivi watanzania asilimia ngapi ni vichaa!? La kwanza hilo. La pili watanzania asilimia 99.9% hutumia asilimia ngapi ya bongo zao???

Mwenye kujibu alete na sources.
 
The Highway in Nairobi
51160449519_c702e377d8_b.jpg
 
Kwanza jiulize kwann watanzania wanawalisha wakenya kwa chakula ukijibu hilo swali uje nikujibu😅😅😅
Hmm, yako kweli umedhihirisha wazi, sijui nikuweke kundi gani, vichaa...... Ni yako hii ni 0.8% ya bongo zako.

Kweli mna mambo
20210502_015802.jpg
 

huyu mbwa yani ana mambo ya kipumbavu kweli halafu mijitu mingine inafata na kuamini tu kila anachosema bila kupima kichwani, eti kisa uhuru kasema hvyo na samia nae aruhusu halafu wazee waje kuflood ajira zte hapa wazichukue wao🤦🏿‍♂️, vitu kwa ground ni different kwao wao kenyans business au investors come first ubinafsi na protectionism ndomana ROSTAM na wengine wengi wameshindwa huko ila huku kwetu sisi ukarimu na uungwana wetu unatuponza wanajiachia tu mffffyuuuuuu......
 
Kampuni za kihuni, Wakenya wanauwezo wa kuja kuwekeza Tanzania bhn?, we uliona wapi kampuni 563 eti uwekezaji $1.7b si ushuzi huu, Wakenya wanachekesha sana wallahi, lkn hivyo vimaneno wamesema sema mpk kuna Watz nawasikia "Kenya wamewekeza Tz" 500 companies with investment ya only $1.7b hawa ni investors au fundi viatu na mabanda ya tuition

Sent using Jamii Forums mobile app
wanazingua sana,,,kwanza wanatupa wasi wasi inawezekana pia wakawa hawalipi kodi kampuni vivuli hizo
 
Your president said either compet and complicate things or go cooperate and do the the business pande moja mna UHURU wakufanya biashara na SULUHU wa kuenda vikwazo 🙂😛
 
Back
Top Bottom