Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapuuzi hao, no wonder wanapigwa kila uchao. The fact that tunauza kwao kuliko wanavyouza kwetu says it all.

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know America is an Oil producer na ata hawana Oil kwao,They invest in Other countries e.g Saudi,American company mines oil and then sells for itself.😛If you think you know🤣🤣🤣Kama hujashikanisha Ni sawa
 
Yeah, uhuru ni clever. Mambo ya gas ilianza time ya kikwete lakini venue Magufuli aliingia madarakani akaipin down until recently. The gas will make Kenyan companies to be more competitive in the continent more than ever that's why Uhuru is desperate for the pipeline. Another question is this, why do you think the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of Kenyan factories are located?
Magufuli alisema kwenye hotuba yake kua tanzania inanayo mpango kujenga gas pipeline to kenya and uganda wacha uongo pimbi wewe 😄😄😄😄😄😄
 
Kwa akili zenu za kijinga mnachekelea. Hiyo ni ishara ya wazi kuwa you guys are very stupid. You never think of the bigger picture. Hiyo gesi mnapaswa kuihitaji kwa ajili ya viwanda na uchumi wenu kama anavyoitaka Museveni. Instead na hizo akili zenu ndogo itakuwa mnataka kuwa tu madalali ili mfanye exports! A very stupid neighbour we have. Very short sighted.



Sent using Jamii Forums mobile app
Who told you hawafikilii hivo
 
I need an answer from Tanzanians on this pipeline issue.

Why do you think the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of kenyan companies are located?

Let me hope it's not what I'm thinking 😂😂😂
Dar and mombasa ni karibu sana kuliko kutoa pipeline kwenda nairobi ukizingatia kuna national parks nyingi sana njia ya kwenda arusha to nairobi 🤣🤣🤣

nyinyi subirini mununue gas kutoka tanzania maisha yenu yote mpaka munakufa 😅😅😅😅
 
I need an answer from Tanzanians on this pipeline issue.

Why do you think the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of kenyan companies are located?

Let me hope it's not what I'm thinking
Hiyo itakuwa inakwenda jimbo la China na China Port of Mombasa. Hakuna jipya hapo... Mtaumizwa sana round hii
 
Go check your facts again, Kenyan investments in Tanzania is $1.7B employing 54,000 Tanzanians. Maybe unapiga kelele hapa na umeajiriwa na kampuni ya Kenya😂

Lol! Last time I visited Tanzania was in 2005/6, never been on my motherland ever since.

BTW, I have never once submitted my academical credentials to any silly individual or a company looking for a job.
 


Nairobi ni chafu, potholes everywhere, dusting on air all over, roads are pathetic and presidential motorcade filled with heaps of shit from back to forth, how on earth Toyota Noah allowed to join the damn motorcade? Full of second hand Japanese tetanus scraps 🚮🚮🚮
 
Kwanini wakenya wasijifunze kupendezesha barabara zao pembeni kwa kupanda miti mizuri inayonakshi manthari ya pembezoni mwa barabara na mji kwa ujumla

Dodoma huwa regarded kama semi arid kwa Tanzania Lakini I bet ina miti mingi ya pembezoni mwa barabara kuliko jumla ya miti yote Nairobi nzima

 
Back
Top Bottom