Wizara ya maliasili na utalii sijui kama wanaliona hili?
Huyu mtu anaweza kufanya mapinduzi makubwa kwenye utalii wa Tanzania with in a second
Wapuuzi hao, no wonder wanapigwa kila uchao. The fact that tunauza kwao kuliko wanavyouza kwetu says it all.There are over 500 Kenyan businesses in Tanzania whose total value is less than a billion dollar.
So, entire Tanzanian economy is controlled by an investment less than a billion dollar. according to you.
Why can't you just say, Tanzanian economy is controlled by MO who possesses more than a billion dollar?
😅😅😅 Hawatoshi hata mbogaWakenya hawajalalamika hebu pitia comments lazma ugongane na mahasidi!
Kwa akili zenu za kijinga mnachekelea. Hiyo ni ishara ya wazi kuwa you guys are very stupid. You never think of the bigger picture. Hiyo gesi mnapaswa kuihitaji kwa ajili ya viwanda na uchumi wenu kama anavyoitaka Museveni. Instead na hizo akili zenu ndogo itakuwa mnataka kuwa tu madalali ili mfanye exports! A very stupid neighbour we have. Very short sighted.I need an answer from Tanzanians on this pipeline issue.
Why do you think the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of kenyan companies are located?
Let me hope it's not what I'm thinking
Laana ya ubaguzi itawatafuna milele. Huku mbongo ni mbongo haijalishi asili yake wapi. Unashangilia kuwa mbaguzi! Pathetic.Asante kwa kunionyesha Mali ya muhindi, I thought utanionyesha ya mtanzania.
Hata akiwa muhindi as long as ananunua malighafi za wakulima wetu, anatoa ajira, analipa kodi ni zaidi kuliko asingekuepo kabisa, sio ninyi huwa mnashadadia wawekezaji kutoka nje na FDI?Asante kwa kunionyesha Mali ya muhindi😂😂, I thought utanionyesha ya mtanzania.
Walivyokua wa naomba bomba la total lipite Kenya, lingekua mali ya mjaluo au mfaransa? Hawa watu hata hawajielewi.Laana ya ubaguzi itawatafuna milele. Huku mbongo ni mbongo haijalishi asili yake wapi. Unashangilia kuwa mbaguzi! Pathetic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unatupangia? The gas will be exported.Kwa akili zenu za kijinga mnachekelea. Hiyo ni ishara ya wazi kuwa you guys are very stupid. You never think of the bigger picture. Hiyo gesi mnapaswa kuihitaji kwa ajili ya viwanda na uchumi wenu kama anavyoitaka Museveni. Instead na hizo akili zenu ndogo itakuwa mnataka kuwa tu madalali ili mfanye exports! A very stupid neighbour we have. Very short sighted.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nayo iyo mibaguziiHata akiwa muhindi as long as ananunua malighafi za wakulima wetu, anatoa ajira, analipa kodi ni zaidi kuliko asingekuepo kabisa, sio ninyi huwa mnashadadia wawekezaji kutoka nje na FDI?
25 km,10 lanes,,,this superhighway connects to Nairobi expressway,, Nairobi will be Europe 👏👏😍#uhurunakazi!
Ww mwenyewe umemcheka🤣🤣🤣 is that three level interchange hvi nyinyi munafkiri three level ni kama kula githeriWacha wivu😛
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wasifu nn wakat debt to GDP ration iko kwenye red line hata hayawani hawezi sifu mpaka dunia inasmamaUmeanza kuona leo wananchi wakikashifu serekali, basi na wala hutoskia wakiitwa vibaraka wa mabeberu ama wasemwe vibaya na kuitwa sio wazalendo
Tuhare kwa lipi hebu nidanganyee 🤣🤣🤣 flyover ipi kisumu ile ya matofali pale kondolee slums 😅😅😅😅No such nje ya Dar😂😂😂😂, watahara humu soon., Kisumu pia works ongoing on flyover between Kondele and Mamboleo interchange., Tz ni Dar pekee😂😂
Jibu swai is that three or four level interchange 🤣🤣🤣🤣 ww unawazimu kichwani unafkiri githeri ileNo interchange will rival that in Kenya, even that of OLE Sereni after completion of the expressway.
Imepita kwa hii matofali flyover ya pale kondolee slum🤣🤣🤣🤣👇👇 sijui mulirogwa na nani nyinyisiku hizi mpaka Kisumu imepita DAR kwa miundo mbinu,TZ are so lazy
nasikia hapa wameweka mkataba wa makubaliano ya ujenzi wa bomba la gas kutoka Dar - Mombasa
wameongelea usafiri hasa ndege, hope ATCL itaweza kuanza kwenda huko baada ya KQ kuishiwa pumzi
Leta evidence nitoke jamii forum sasa hvi mzee wa mahela 🤣🤣🤣🤣🤣Uchumi wa Tanzania umeshikwa na wakenya. That's according to madam President.