Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 5,394
- 6,907
😂😂😂 dar kama dar
PumbavuMods mbona jamaa ananitukana!!..mi sikumkosea kitu,sijamtukana wala sikumtaja kwenye post yangu!
Lakini Dar hii kweli ina mambo!!! Wacha niachie hapo.😂😂😂 dar kama dar
View attachment 1744464
Hapo kwa Road Network Tanzania ama wameipa data za 1970??View attachment 1744485hapa ndo loans zilenda 😇😇
Covid imekua chanzo cha uhuru kuchukua pesa za mabeberuHawa majirani iyo ela siwangeboresha sekta ya afya iwe level za UK kabisa
heri Nakurudar kama dar
View attachment 1744464
Link ndo hakunaView attachment 1744485hapa ndo loans zilenda
Kuna nn tena?Tiss haiaminiki kwa sasa,wanaonyesha udhaifu kila wakati,jamani mama sijui afanye nini kwenye hii idara
Nikuamini wewe mtume au?? 🤣🤣🤣 hvi kuna mtu muongo na pretender kwenye dunia hii zaidi ya mkenya??Mwarabu koko Kama huamini hiyo ni shauri yako,
Corona utaikuta hata kwenye kitanda chako sio tu social distancing 😅😅Covid 19 protocol at Jamia Mosque Nairobi
View attachment 1744416
Kenya ina 9000km paved road tanzania ina 13000km paved road tunashindana nn hapa au unataka tulete facts sasa hvi🤣🤣🤣Hapo kwa Road Network Tanzania ama wameipa data za 1970??
Mumeona 21floors hzo 🤣🤣🤣 17floors mtu anakwambia 21 floors21 Floors. Another tower in Westlands nears completion.
View attachment 1744489
View attachment 1744491
Na akipata tu unitag 🤣🤣🤣Link ndo hakuna