wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 611
- 2,650
Haya mafala nilijua tu lazima yafungwe ndo mana wala ckujisumbua kufatilia mechi, Wakenya wala msishangilie kuyafunga hayo masenge, sisi mpira hatujui ila tuna ligi bora cz pesa ya ku invest kwenye soka tunayo, tunaweza kununua mchezaji yyte hapa East and Central Africa na ndiyo maana ndoto za wachezaji ukanda huu ni kucheza Tanzania ila sisi km sisi mpira hatujui hilo halina ubishi.