Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama hela zinatokana na zile za bwawa hakuna haja ya tender, kama huyo contractor anaweza kujenga uwanja pia
kwahiyo ndo mkandarasi hatatangazwa? sio? umekuwaje wewe mradi wa $100 mln isitangazwe tender kwani fedha zile ni za hisani au makubaliano ya mkataba kati ya GoT na Arab construcots! si serikali hii mzee! uliza Yapi Merkezi akuambie kilichomtokea! wacheni uzushi hata kama watapewa tender itatangazwa!
 
almost minimum of 7 mil per village person. (utajiri zaidi). ingekuwa kenya viongozi ndo wangefaidika
Land compensation ni jambo la kawaida sana ba mzee, bora mtu ana kibali cha shamba yake ana kuwa compensated, sio jambo geni, ndio umegundua unadhani ni kitu geni?Kenya haifanyiki ni viongozi tu, una tia huruma, before insinuating, fanya utafiti kwanza. Ndio mnaona "maajabu" karne hii.
 
Baada ya serengeti

Zanzibar unaeza linganisha na Seychelles kuikweli?, An upper middle income, zero poverty! pengine wanamaanisha beaches na starehe za kipwani, kwingine Zanzibar ni ushuzi 90%., tusidanganyane , Seychelles na Mauritius ziko ligi yao ya juu hapa Africa.
 
Kumekucha Tony254 alaf ndio nyinyi hujisifu muna best security system
Clashes ya raiya kwa ajili mtu wa boda boda alie patikana na motorbike ya uwizi kachomwa, watu wao wanadhani kasingiziwa waka demonstrate by destroying property, and wanting to retaliate., so hapo wewe una wish iwe maovu zaidi., it is evil yes, but not your insinuations
 
hili jambo la aflatoxins kwa mahindi ya Tz na Ug ni ukweli, imekua kwa muda, I knew it in 2018 or 2019 through maize business, mahindi ya Ug na Tz zilikua zikifanyiwa test if u are especially selling kwa maize millars level za aflatoxins zilikua zaidi ya viwango, inabidi uuze kwa masoko ama animal feeds, ilisemekana pia wakulima hawakaushi mahindi vizuri ipasavyo. But naona kama kawaida mnaweka siasa. Inawezekana inaeza kua tactic ya ku protect wakulima wa Rift valley na trans nzoia kwa maana wao ndio wakulima wakubwa wa mahindi na ngano., but sidhani. Nahurumia wakulima na wanabiashara wa Tz., ni pigo!
 
Hivi Mombasa ina media group kubwa kama Sahara media group ya Mwanza? Tony254
Hzo kelele zote kwanza za nn, mwanza kuna kitu km hichi
images.jpeg-29.jpg
 
hili jambo la aflatoxins kwa mahindi ya Tz na Ug ni ukweli, imekua kwa muda, I knew it in 2018 or 2019 through maize business, mahindi ya Ug na Tz zilikua zikifanyiwa test if u are especially selling kwa maize millars level za aflatoxins zilikua zaidi ya viwango, inabidi uuze kwa masoko ama animal feeds, ilisemekana pia wakulima hawakaushi mahindi vizuri ipasavyo. But naona kama kawaida mnaweka siasa. Inawezekana inaeza kua tactic ya ku protect wakulima wa Rift valley na trans nzoia kwa maana wao ndio wakulima wakubwa wa mahindi na ngano., but sidhani. Nahurumia wakulima na wanabiashara wa Tz., ni pigo!
Tz is selling maize to wfp, and other neighbouring countries, hizo figisu tu za macarlel wenu, but don't worry we will fix you soon and you will back down.
 
Sisi tunajua mahali pa kuwafinya hadi mtoe unyende. Nyimbo za "tunawalisha" zimekatika ghafla. Hahaha. Nyinyi mtajua baba yenu ni nani ukanda huu.
 
Back
Top Bottom