Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unapost haka kakipande paonekane kwamba hakuna njia ya kutolea na kuingia 🤣🤣🤣🤣 hakuna mjinga huku mzee
0B10336E-9386-4798-AC0C-ED3CD4101EE0.jpeg
 
Pia ndani ya miaka mitano tunajenga makao makuu ya tanzanzania "dodoma" ambapo kuna miradi mikubwa kibao kama vile reli ya sgr kutoka dsm to dodoma 👇hii ni moja ya mahandaki manne kuelekea dom . Pia ujenzi wa mji wa serikali na km 51 za barabara 👇. Lakini pia ujenzi wa ikulu 👇. Dodoma outer ring road 112km . Na mavitu kibao shopping malls n.k

Kwani Ikulu ya Dodoma haijakamilika? Ni jengo nzuri sana ila nilidhani Magufuli tayari anaishi Dodoma, kwani anaishi kwenye jengo gani huko Dodoma?
 
Hapa safi progress inaonekana, hongereni japo hakuna uwezekano wa kuwa km render, but congratulations in advance, tunataka mambo km haya weka niweke na sio daily sisi tu ila nyie mko na expressway tu, ok
They are constructing in Lots, see for instance :

Phase 1: Miritini junction to Mwache junction + Kipevu Link Road (10.1 km) 4 lanes
2. Phase 2: Mwache junction to Mteza (including Mteza bridge) 8.96 km 4 lanes
a. Mwache bridge (660m)
b. Mteza bridge (1,440m)
c. Tsunza viaduct (690m)
3. Phase 3: Mteza (excluding Mteza bridge to Kibundani junction (6.86 km) 4 lanes
a. Right turn viaduct.
 
Wanajifanya hawajaona hii🤣🤣🤣 Tony254
Hio ni obvious kwamba mlikuwa kwa kasi kubwa 2020 maana mlikataa kufunga uchumi wenu kwa sababu ya ule uongo wenu kwamba hamna corona. Yaani mlicheza game chafu. Mliamua heri watu wenu wakufe lakini uchumi usisitishwe ili muzipiku nchi zingine za Afrika. Lakini 2021 nchi kama akina Rwanda na Ethiopia zitaendelea kukua kwa kasi kuwashinda.
 
Back
Top Bottom