Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si ni wewe uliyesema kwamba Magu alitumia mbinu nzuri sana kutangaza covid haipo na ndiyo maana watalii wanamiminika au sio wewe nikuletee evidence
Ni kweli huo uongo kwamba TZ haina corona ilifanya kazi nzuri kiuchumi kwani mlipata watalii wengi hususan Warusi ambao hawajali mambo ya corona ila negative effects ya policy hio imeanza kuonekana pale ambapo Watanzania wameanza kufa kwa wingi.
 
Anaheshimiwa na nani? The guy is a joke. Nobody takes him seriously. He is a clown . The only good thing about him ni kwamba anajenga miundombinu. Ni rais mzuri kwa kujenga infrastructure lakini ni rais mbovu sana likija kwenye suala la uhuru na demokrasia na pia kwenye suala la corona amefanya upuzi sana kusema kwamba corona haipo ilhali Malazy wanakufa left right kama nzi. Mjikinge kwa kuvaa mask na mkubali chanjo. Wacheni ushamba.
hujui kuchanganua mambo ,hujui kuchanganua kauli kiundani...

ungekuwa hakimu ungekuwa ni miongoni mwa mahakimu wapuuzi sana kwenye huu ukanda kwani ungekuwa ukiletewa kesi ya mtu aliyeitwa mwizi ungekuwa unapiga nyundo nakutoa hukumu papo hapo pasipo kusikiliza ushahidi wowote na kuuchanganua kiundani angali unajua kabisa kuwa si kila kesi inaukweli kuna wanaosingiziwa tu ilimladi..
 
Ni kweli huo uongo kwamba TZ haina corona ilifanya kazi nzuri kiuchumi kwani mlipata watalii wengi hususan Warusi ambao hawajali mambo ya corona ila negative effects ya policy hio imeanza kuonekana pale ambapo Watanzania wameanza kufa kwa wingi.
Hahahahaaaaa ni kweli corona ipo kwa ss ila ndio imeshapotezewa na inaondoka hiyoo, unajua Magu ana maono mapana sn km angetilia mkazo basi huu ugonjwa ungesumbua sn km kwenu unavyokula vichwa vya Wakenya, na ndiyo maana unaona Magu ni km amewakataza wateuliwa wake kuvaa mask cz wapo vitani so ni lazima waji sacrifice kama unavyoona wanajeshi vitani na sio wewe kiongozi unayepaswa kuwatoa hofu wananchi ndio unaongoza kuvaa barakoa kuubwaaa, simple and clear hakuna kiongozi aliye chini ya mamlaka ya Magu ataruhusiwa kuvaa barakoa na km hataki aandike barua ya kujiuzulu, ivyo yani
 
Nilikuwa namheshimu sana huyu Tundu Lissu. Kama ni kweli kwamba yeye ni shoga nitamdharau sana.
hujui kuchanganua mambo ,hujui kuchanganua kauli kiundani...

ungekuwa hakimu ungekuwa ni miongoni mwa mahakimu wapuuzi sana kwenye huu ukanda kwani ungekuwa ukiletewa kesi ya mtu aliyeitwa mwizi ungekuwa unapiga nyundo nakutoa hukumu papo hapo pasipo kusikiliza ushahidi wowote na kuuchanganua kiundani angali unajua kabisa kuwa si kila kesi inaukweli kuna wanaosingiziwa tu ilimladi..
 
Hahahahaaaaa ni kweli corona ipo kwa ss ila ndio imeshapotezewa na inaondoka hiyoo, unajua Magu ana maono mapana sn km angetilia mkazo basi huu ugonjwa ungesumbua sn km kwenu unavyokula vichwa vya Wakenya, na ndiyo maana unaona Magu ni km amewakataza wateuliwa wake kuvaa mask cz wapo vitani so ni lazima waji sacrifice kama unavyoona wanajeshi vitani na sio wewe kiongozi unayepaswa kuwatoa hofu wananchi ndio unaongoza kuvaa barakoa kuubwaaa, simple and clear hakuna kiongozi aliye chini ya mamlaka ya Magu ataruhusiwa kuvaa barakoa na km hataki aandike barua ya kujiuzulu, ivyo yani
Nyinyi ndio nchi pekee duniani inayokataza wafanyikazi wa serikali kuvaa mask. Hakuna nchi nyingine inayofanya ujinga kama huo.
 
huyu mwamba A.Y naona kapata shavu la movie ,,jamaa anamiliki mjengo hollywood kimya kimya hafu ana mbwembwe hata kidogo ,,si wakumchezea kashakula deal location na HOLLYWOOD STARS,,,,na ruby footballer starView attachment 1717975View attachment 1717978View attachment 1717977View attachment 1717976View attachment 1717979View attachment 1717981View attachment 1717980
FB_IMG_1614946322721.jpg
 
Anaheshimiwa na nani? The guy is a joke. Nobody takes him seriously. He is a clown 🤡🤡🤡🤡. The only good thing about him ni kwamba anajenga miundombinu. Ni rais mzuri kwa kujenga infrastructure lakini ni rais mbovu sana likija kwenye suala la uhuru na demokrasia na pia kwenye suala la corona amefanya upuzi sana kusema kwamba corona haipo ilhali Malazy wanakufa left right kama nzi. Mjikinge kwa kuvaa mask na mkubali chanjo. Wacheni ushamba.
He is wise than your drunkard president anaangalia maslahi ya Mtanzania🙂
Sio mbinafsi,soon Tanzania itakua power house and the best economy in Africa mtanyooka tu🙂
 
napenda hizi pedestrian reasoning zako, sasa weka concrete facts chini tuone GDP ya uongo kati ya Kenya na Tz ni ipi? hapa naweza kuwaumbua kutokana na propaganda zenyu mtanichukia tu bure nikiweka forensic audit ya sector by sector Tz vs Kenya, Kiswahili mingi ni laana tupu nimegundua, pia DRC is the richest country on earth but practically poorest like Tanzania,., na Africa is the richest continent yet with poorest people, Tanzania among the leading kwa kujaza hiyo number ya masikini wa kutupwa, mzee dogo elewa economics wacha kuropokwa kama mtu wa vijiweni.,
achana na huyo mataga mlamba ass ya Jiwe hana akili anasubilia kufukiwa tuu ila ana dead soul na blind mind
 
He is wise than your drunkard president anaangalia maslahi ya Mtanzania
Sio mbinafsi,soon Tanzania itakua power house and the best economy in Africa mtanyooka tu
Kwa mkondo wa capitalism mlio chukua, and with the bigger populace having weak mental frame hawawezi kufikiria zaidi ya pua , it is a recipe' for extreme poverty numbers, as economy grows, the more poor people will suffer, unless software ndani ya vichwa vyenyu vibadilishwe, ata mkijenga SGR mia, na flyovers elfu, na vigorofa, bado haitakomboa mtanzania wa kawaida, ni wajanja tu wataomoka, na kuwafanya wanyonge kama wewe vijakazi na malipo duni. Capitalism ni ya mwenye nguvu, mvivu na hafifu(the middle name of most Tanzanians) hana lake hapa., the reason licha ya kukua kwa uchumi wenu, in 2020 report from data ya 2019/2020 world bank, umasikini wa kutupwa uliongezeka, mkaipiku Ethiopia walio beba huo ubingwa kwa miaka mingi. Think seriously, and reason, wacha ushabiki...

JamiiForums1552698300.jpg
 
Back
Top Bottom