Mabibi na mabwana hawa ndio wanafuata njia za kisayansi ili kujikinga na kirusi kama unavyoona kwenye picha wamezingatia "sosho distensi"
Halafu wakiwaona Watanzania wakishughulika na biashara zao genye zinawapanda View attachment 1715402
We jamaa huu co ustaarabu, unganisha picha ata tano na sio kutuma moja moja, inaboa sn.Eldoret Rupa.., shopping experience..,
View attachment 1715410
Duuh🙄Mabibi na mabwana hawa ndio wanafuata njia za kisayansi ili kujikinga na kirusi kama unavyoona kwenye picha wamezingatia "sosho distensi"
Halafu wakiwaona Watanzania wakishughulika na biashara zao genye zinawapanda View attachment 1715402
No hurry in Africa., have fun.We jamaa huu co ustaarabu, unganisha picha ata tano na sio kutuma moja moja, inaboa sn.
Kitega uchumi ya Moshi ni nini?Zinatoshana neck neck hata kiuchumi moshi iko vizuri
Utalii na biashara zingine.Kitega uchumi ya Moshi ni nini?